nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: New position

    In the heart of East Africa, Tanzania stood poised at a crossroads, facing the dawn of a new era—Tanzania Tuitakayo, the Tanzania we desire. With a vision set on the horizon of the next five years and beyond, the nation embarked on a transformative journey, fueled by innovation and propelled by...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
  3. JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC (UPDATE)- Timu Yako Ipo Nafasi Ya Ngapi?

    Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
  4. JamiiForums Tanzania Coastal Union Fc wakipambana wanaweza kushika nafasi ya tatu

    Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
  5. JamiiForums Tanzania Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

    Habari wakuu Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma. Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na ulitamani wengine wapate nasaha ya kuusoma pia. Mimi binafsi ni huu:-...
  6. JamiiForums Tanzania Unapopata nafasi ya kuwa karibu na Viongozi zingatia haya

    UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa wanaokuzidi maarifa/ elimu / kipato / kipawa / ushawishi / mvuto / cheo, kwa lengo la kupata nafasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

    Ni sawa na kusema Maiti imemng'ang'ania muoshaji.
  10. JamiiForums Tanzania Mo akizira au kukata tamaa, Simba inadondokea nafasi ya 4

    Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

    Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka: Kwamba: 1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote. 2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vinawasumbua na kuwagharimu wengi ambavyo huwa naviona havina nafasi kwangu

    Jamani nahisi mimi nimeshindikana! Kuna vitu ambavyo wengine huwa wanateseka kuvipata lakini mimi wala huwa sina muda navyo japo naweza kuvinunua kirahisi, mfano: 1. Kitanda... Mimi huwa nikiweka godoro chini na shuka kwenye chumba safi naweza kukaa miaka yoyote bila kununua kitanda 2. Simu...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu una nafasi ya kuwa na kila unachohitaji

    Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali. Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
  17. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukipewa nafasi ukaona inakuzidi sema atafutwe mwingine

    Eid Mubarak Wanachama wa Jf na watanzania wote. Ninaomba tujadili hii kauli ya Mzee wetu Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kuna eneo la msingi na LENYE maana kubwa kwetu sisi watanganyika kuelekea 2025. Karibuni Kwa mjadala. ==== Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuhusi nafasi za kujitolea

    Napenda kuwasilisha kama inavyojieleza je BOT taasisi huwaga haitoi nafasi kwa vijana wa kujitolea au ??? Wenye ujuzi wa hili msaada
  19. M

    JamiiForums Tanzania Amosi Makalla apewe nafasi na ushirikiano

    Amosi Makalla Tangu kuteuliwa kwa Amos Makala kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua nafasi ya Paul Makonda baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii na hata miongoni mwa wana CCM maeneo mbalimbali wameonekana kutokubaliana na uteuzi wake na kuona...
  20. JamiiForums Tanzania Kocha wa Al ahly asema anamtaka Kibu Denis kuziba nafasi ya Percy Tau

    Sio maneno yangu bali ya kocha wa Al ahly,msikilize hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…