Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital.
"Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training.
Vigezo
Leseni daraja CE
Police clearance
Mambo...
Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine.
Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
Za Asubuhi.
Siku Moja Mzee wangu aliniambia huyu Samia yeye kwenye akili yake anawaza Urais wake tu. Yani yupo tayari afanye lolote kulinda Urais wake sio Nchi. Nikawaza kweli. Issue ya Spika Ndugai alichukua action mapema. Issue ya kina Makamba na mwenzake alichukua action mapema.
Sasa hivi...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa...
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,
Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..
Lakini...
Naitwa Salehe nimemaliza elimu ya Bachelor of Engineering in Civil 2024 (DIT). Pia ni Civil Technician mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu katika kazi za ujenzi hususan ni Majengo. Kwa yeyote atakayehitaji mtu wa usimamizi wa kazi zake naomba tuwasiliane 0654224037.... Makazi ni Dar es Salaam.
Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana
Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
anafaa
chadema
chama
dharura
hali
kamili
kiongozi
kuchukua
kujiandaa
kukosa
lisu
makamu
muhimu
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
nafasi
sana
taifa
uenyekiti
uenyekiti wa chadema
uhalali
uongozi
uongozi wa juu
wake
nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini.
Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
Habari zenu wanajukwaa
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika.
Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda...
Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani?
Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi.
Basi ni vyema tutumie uzi huu kuyauliza hyo maswali, mimi nawaomba Mods wayakusanyanye wawape tume ya...
Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao;
Ya kwanza ni
1. Indonesia.
2. Senegal
3. Pakistan
4. Mali
5. Tanzania.
Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
Club ya Simba ya wanawake huku ikicheza hovyo na kinyonge imebugizwa goli 3 kwa 2 na polisi ya Kenya
Simba iliyocheza kama watoto wa umisseta imeshindwa kabisa kutamba
"Watoto wa Mgunda a.k.a awali ya yote wameonekana kucheza bila muunganiko