nafasi za kazi

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania DHL Country Manager - Tanzania March, 2025

    IT’S NOT JUST AN OPPORTUNITY TO GET ON THE CAREER LADDER. IT’S AN OPPORTUNITY TO HELP THE WORLD GET ON TOGETHER Why do people call us the world’s most international company? Is it because we operate in more countries than any other logistics provider? Is it because we invented cross border...
  2. khmbrzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job

    Habari zenu wana Jamii Forums Mimi ni kijana miaka 23 niliehitimu Diploma ya Insurance and Risk Management IFM mwaka jana, Natafuta fursa ya ajira, kazi au part time job. Tafadhati naomba kama kuna nafasi yoyote ya ajira hata kama ni tofauti na career yangu, naomba nisaidiwe. Mkoa wowote ndani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi

    Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi umepewa rahisi kutoka kimaisha Kazi ya kwanza ni u house girl .Ma house girls wengi waaminifu na wachapa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya udereva. Naishi Chamazi

    Kwajina naitwa Saiid Omaly Ngulupy Nina uzoefu wa udereva wa miaaka minne .nimkazi wa chamzi .ninauzoefu wa gari zifuatazo garindogo ya aina yeyote .na kinzia tani moja ady 20 kwa gari za mizigo Pia nina uzoefu wa ufundi miaaka mitano .mwaka moja kati ya iyoo nilisomeaa ufundi katika chuoo cha...
  5. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali haiwezi kuajiri kila mhitimu wa Chuo

    Leo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali hua inaajiri walim kwa awamu kila mwaka. Hapa ni siasa katika elimu kwakweli . Ivi kweli : 1...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo kuhusu Recategorization kwenye suala la ajira

    Habari za muda huu wadau wa JamiiForums. Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira. Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari. Niliomba ajira hii baada...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye hivi kusaida NETO na vijana wengine wasio na ajira

    Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la ajira lililopo na kuzuia huu uanzishwaji wa vikundi vya vijana wasio na ajira. Haileti picha nzuri...
  8. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye connection ya kampuni za ulinzi Zanzibar tafadhali

    Habari gani wakuu bila kupoteza muda niingie kwenye mada Jamani kwa yoyote mwenye connection na kampuni za ulinzi zinazolipa kwa wakati Zanzibar msaada wako unahitajika hapa tujuze tafadhali na Mungu atakubariki.
  9. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Kiwandani (Machine Operators)

    Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali. 1. Boiler Operator 2. Refinery Operator 3. Oil Crusher Operators 4. Oil Packaging 4. Forklift Operator Kama una uzoefu kwenye moja ya eneo hilo naomba tuma CV...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Habari zenu natafuta kazi elimu kidato Cha nne mwenye connection za mashirika mbalimbali, bandarini au kampuni za usafirishaji

    Natafuta kazi kwenye makampuni, bandarini au Taasisi yoyote nipo Dar es salaam elimu yangu kidato Cha nne 0742548727
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Sales and marketing Associate

    We are a building material company supplying high quality building materials Role Description This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for day-to-day sales tasks, including prospecting, client meetings, and closing deals. The role is for...
  12. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Ulitumia jitihada, njia au mbinu zipi kupata ajira au kujiajiri?

    Habari za wakati huu wanaJF, Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hili. Pengine kwenu wanaJF mlitumia njia zipi kuweza kupata ajira au kujiajiri, nimeuliza hili kwa sababu naona maisha yanazidi kunipalia, binafsi nimehitimu shahada ya mambo ya uchumi na takwimu nimejitahidi kutafuta ajira kwa...
  13. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Top Job Websites in Tanzania to Help You Land Your Dream Job

    Whether you’re looking for a government position, a private-sector job, or an internship, numerous online platforms help you find your ideal job. With that out of the way, here are the leading job websites in Tanzania that make a difference in recruitment. 1. Kazi Portal Kazi Portal is a...
  14. Dignah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi maeneo ya Moshi

    Habarini wana JF Natafuta kazi maeneo ya Moshi. 1. Stationery 2. Supermarket 3. Sheli Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu Naombeni connection Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Elimu yangu, nina shahada ya archaeology& geography

    Elimu yangu, nina shahada ya archaeology& geography naweza fanya kazi katika fani hiyo, ama kazi nyingine tofauti na fani hiyo Napatikana Mwanza ila niko tayari kufanya Kazi sehemu yoyote
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Walioitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi O-Lake Energies Ltd.(Lake Oil) wanatakiwa kuchangia 30000/= ya chakula na malazi

    Habari, naomba Kusaidiwa katika hili hizi ajira wanasema 30,000 ya malazi ni za kweli Maana walioomba Ni wengi sana
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nyie vijana graduates jobless hua mnashinikiza serikali iwape ajira?

    Hua najitolea kusemea vijana jobless Tanzania ukiingia ajira portal ukaona namba ya ajira zinazotangazwa utashangaa Nasikitika kuona mamilion ya graduates jobless wapo wamejazana UVCCM wanashangalia tu. Vijana mnatakiwa muwe na hasira hapo Kenya tumeona waziri wao anaenda hadi Asia kutafutia...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

    Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa. Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo. Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe. Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi...
  19. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

    CLOSED
  20. Mrfreddy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Prime Zone limited deadline - 20 Dec 2024 (Driver, sales and markerting, graphic designer and social media manager) DSM

    Prime Zone is looking for Marketing & Logistic personnel in: 01. Sales And Marketing Officer– Dar es salaam (03 Positions) WORKING STATION: DAR ES SALAAM Job Type: Full-time. Key responsibilities: · To prepare marketing and sales strategies. · Ensuring the company meets the sales targets. ·...
Back
Top Bottom