Kiwanda cha kuchakata plastiki kilichopo tegata - Daressalaam, Kinatafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi za kiwandani, Kazi hizo zinahusisha , kuchambua plastiki, Kuosha plastiki, Kusaga plastiki na Kuengeneza bidhaa mbali mbali kwa kutumia plastiki, vijana wawe na sifa zifuatazo.
1. Awe...