nafasi za kazi

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Instructor/Assistant Professor, Urology at Aga Khan University

    Senior Instructor/Assistant Professor, Urology Entity - Aga Khan Health Services Location - Tanzania Introduction Aga Khan University, a private, self-governing international university chartered in Pakistan in 1983, is a role model for academic, research and service programmes in health and...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Affidavit au Deed Poll katika kuomba Ajira Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu wa kufanikiwa?

    Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina. Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa kufanikiwa?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

    Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga. 1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi...
  4. realMamy

    JamiiForums Tanzania Nani alikusaidia kupata kazi unayoifanya?

    Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea. Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine. Wengine pamoja na taaluma walizonazo lakini wameamua Kusaka maarifa mengine...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  6. mkataumem

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya Transporter /clearing and forwarding

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa Exportation, importation na Transit Kwa miaka minne sasa.. Kazi itafanyika Kwa uaminifu. Naombeni ajira...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

    Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa "ngazi za kuelea elea" nicheki nikufanyie kazi yako. Hata kazi yoyote inayohusu Ujenzi (Plasta, kujenga n.k) karibu nikufanyie kazi Yako! Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu. Karibuni wakuu. Simu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi Real Estate

    Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi wa nyumba uliopo(REAL ESTATE) wilaya ya Kigamboni Dar es salaam. TUMA C.V YAKO:sophiahamidu59@gmail.com
  10. U

    JamiiForums Tanzania Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Field Attendant ambayo sifa yake ni Form Four

    Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira sasa ninaomba kupta tips ya maswali yake ya interview hasa kwenye usaili wa kuandika. Nini natakiwa...
  11. Lukonge

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Saluni

    Wanaitaji: • Kinyozi 1 • Msusi 1 • Msafishaji na kuremba kucha 1 Aina ya kazi, kuwezesha: • Urembo(wanawake) • Utanashati(wanaume) Sehemu ya kazi: • Kivule - Ilala(DSM) Mwajiri: • Mtu binafsi Ujuzi: • Mwenye ujuzi wa kutosha kulingana na kazi husika, mfano: kunyoa(kinyozi) mitindo...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Mechanical Draughtsman at Twiga Cement Limited August, 2024

    Position: MECHANICAL DRAUGHTSMAN Areas of Responsibility: As assigned by the supervisor. Reports To: MCC MANAGER Specific Knowledge Minimum of (5) five years of hands-on experience in the cement industry, particularly in developing and preparing comprehensive mechanical drawings...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial Bank August, 2024

    Job Title: Direct Sales Executive Tenure: 6 months (Renewable subject to performance) Location: Dar es Salaam Mwanza Arusha Kilimanjaro Dodoma Mbeya Job Purpose: Drive retail sales objectives of the bank through day-to-day customer visits and selling bank products and services to new and...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Payable Accountant at UAP Insurance August, 2024

    Job Description To assist with undertakings of the accounting function of the company in a professional manner to ensure the company meets its financial obligations. Timely processing of invoices and payments as per agreed TATs and payment processing procedures. To ensure all applicable taxes...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nimesoma utangazaji na Uandishi wa Habari, natafuta kazi

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center Napatikana Dar es salaam, Wilaya ya Ubungo.Asanteni. Soma Pia: irect Sales Agent – 85 Positions at Akiba Commercial...
  16. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi taaluma yangu ni Bachelor of Science in Chemistry Nipo Tayari Kufanya Kazi Ndani au Nje ya Taaluma Yangu

    Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali. Natafuta kazi yoyote ata ya nje ya taaluma yangu. kingine nina mtaji wa laki tatu msaada kwa mwenye wazo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ambayo hahitaji Elimu

    Ni matumaini yangu mu bekheri wa afya wakuu kwa wanaoumwa poleni sana na mtakuwa sawa tena. Mimi ni kijana wa miaka 26 -28 nipo Jijini Mwanza ahangaika ila katika mihangaiko yangu mambo yamekuwa magumu deals zimekata kbs hadi nachanganyikiwa pesa sina kodi ndio imefika na kama mjuavyo Mwanza...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Global Technical Lead: Eye Health (ECSA) at Sightsavers August, 2024

    Sightsavers is looking for an expert in Eye Health to provide technical leadership across all eye health programmes and strengthen the global programme portfolio. Salary: Local terms and conditions apply Location: Malawi – Lilongwe, Tanzania – Dar es Salaam or Zambia – Lusaka Contract: Two...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Internal Auditor (Mkaguzi Wa Ndani) at TURSACCOS LTD August, 2024

    Job Vacancy: Internal Auditor (Repeated Announcement) TURSACCOS LTD is pleased to announce to the general public that there is an opening for the position of Internal Auditor. Maombi ya Nafasi ya Mkaguzi wa Ndani TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822 P.O.BOX...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Underground Shift Supervisor at Geofields Tanzania Limited August, 2024

    Geofields Tanzania Limited (GTL), is a multidisciplinary strategic service provider company for the exploration and mining industry Founded in 2008. Geofields is Tanzania’s leading exploration and mining service company, with an integrated and comprehensive service portfolio of drilling...
Back
Top Bottom