nafasi za kazi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu wa Part time Arusha

    Habari, Tunatafuta waalimu wa chuo wa part time katika nafasi hizi:- 1. Mwalimu wa French & Spanish 2. Mwalimu wa Hotel Management 3.Mwalimu wa Tour guiding Ni chuo kinachotoa kozi za utalii hapa Arusha hivyo tunapendekeza wale waliopo Arusha hasa mazingira ya Sakina. Unaweza kutuma Cv zako...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania USAID Supervisory Development Assistance/Deputy Program Office Director at USAID August, 2024

    Solicitation No: 72062124R10009 Closing date and time for receipt of Offers: August 29, 2024 Point of Contact: Hussein Tuwa, e-mail at htuwa@usaid.gov Position Title: USAID Supervisory Development Assistance Specialist/Deputy Program Office Director Market Value: Tshs. 143,254,619 to Tshs...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yangu ni Bachelor Of Business AdminstrationNatafuta kazi

    Salama wana jukwaa, Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu. Elimu yangu ni "Bachelor of Business Adminstration". Yoyote mwenye kazi au connection ya kazi yoyote halali na yenye kipato basi...
  4. wadzelino

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha Shule ya English Medium

    Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha. Atajitolea miezi mitatu, then atapewa mkataba kamili, kipindi anajitolea atalipwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Wakuu

    Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona. Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi 6,257 katika wizara, idara, wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi jumla ya elfu sita, mia mbili na hamsini na saba (6,257) katika Wizara, Idara, Wakala za Serikali, Mikoa na Serikali za Mitaa. Nafasi hizo zinahusisha maeneo mbalimbali ikiwemo kilimo, uvuvi, misitu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa marketing wa kufanya naye kazi

    Habari wakuu Mimi nina kampuni japokua bado ni changa ofisi ipo Africana, nahitaji watu wa marketing sio wa kuwaajiri ila tunawaeza kuarange terms tukalipana kwa kazi. Kampuni ina husika na uuzaji na ufungaji wa security systems and networking. Kwa anaeweza nicheck kwenye office number +255...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Massage

    Sifa za waombaji; 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa Dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo. Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/= Chakula cha asubuhi na...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period. Tayari tumewapata, Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama mshahara ni chini ya Tsh 150,000/= kwa mwezi bora useme unatangaza nafasi za utumwa kuliko useme ni nafasi za kazi

    Leo nimesikitika sana baada ya kusoma uzi wa jamaa anayetaka wahudumu wa mgahawani kwa mshahara wa Tsh 2000/= kwa siku kwa hoja kwamba watakula bure mgahawani. Watu wengi kwenye ule uzi wamempinga vikali mleta mada. Mimi pia niliandika comments za kupinga huo ujinga. Ninawasihi waajiri binafsi...
  11. CYTON TECH

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  12. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  14. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  15. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 9,483 za Kada za Afya

    Kumb.Na.JA.9/259/01/B/ 11 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 9,483 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. Maeneo ya...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Nutritionist haraka iwezekanavyo

    Maombi yote yatumwe kwenye official e mail ya kampuni yetu kama inavyo onekana kwenye attachment. All the best.
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania VSLA Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION TITLE: VSLA Coordinator REPORTS TO: Senior Project Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY VSLA coordinator is responsible to lead CARE’s VSLA model, support linkage to access to financial services to VSLA members. He is responsible for providing holistic support services to Village...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Impact and Communication Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION: Impact and Communication Coordinator REPORTS TO: Senior Project Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The communications and impact coordinator will be responsible for demonstrating and communicating the impact of the project activities. Including developing the project communications...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administration and Procurement Officer at CARE International June, 2024

    POSITION: Administration and Procurement Officer REPORTS TO: Head of Finance and Operations LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The Administration and Procurement Officer is responsible for timely provision, coordination and management of logistics, procurement and administrative support services to...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Grants and Finance Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION: Grants and Finance Coordinator REPORTS TO: Award and Sub-award Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The role of Grant and Finance Coordinator will be responsible for the day-to-day management of the assigned projects at Iringa Sub office in line with CARE International policies and...
Back
Top Bottom