nafasi za kazi

  1. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoendelea hasa Afrika kwa wakati huu tuliopo hakuna ukosefu wa nafasi za kazi (ajira) tatizo lililopo ni serikali hazina pesa ya kuajiri

    Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wadau mnaotafuta ajira na ambao tayari mpo kazini, chukueni ushauri huu utawasaidia

    Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni). Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo; Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji. Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Lab Technician

    Habari wakuu, Nimesomea Science and Laboratory Technology(FTC) kutoka DIT na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi nikifanya kwenye kampuni na viwanda tofauti. Mwenye connection tupeane wakuu.
  4. Sharon Cheque

    JamiiForums Tanzania Ipi njia bora kupata ajira!? Usaili au bila usaili

    Kada ya ualimu/Afya zamani "Ukimaliza unasubiri kupangiwa kituo" - Saizi milolongo lundo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kama sio ya kulipwa basi hata kujitolea

    Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau. Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa...
  6. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

    Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
  7. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Leo vijana wa medical laboratory walikuwa na written interview lakini maswali yao yote yalibase kwenye maabara za viwandani na mashuleni Maana mtihani ulibase zaidi kwenye topic za density ile ya form two, volumetric analysis ya form three, wakatolewa vernial calliper ya form one, mambo za...
  8. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Kimetulamba kwenye written interview

    Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah! Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo.. Picha lenyewe Sasa....👇 Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi GGM

    Kazi kwenu wenye vigezo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya Mining Engineering

    Wakuu, Nina ndugu yangu anataka kusoma mining engineering mwenye uelewa naomba msaada kama hii coarse pia ajira zake zinasumbua sana.
  11. both teams to score-YES

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kibarua cha halali

    Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada. Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu. Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate chochote kupitia kibarua ili mama ale hata mie nikikosa haina Shida. Niko Mburahati, Dar es salaam...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  13. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo. UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Secondary School Principal at International School of Tanganyika

    Job type: Full-time Job Title: Secondary School Principal Location: International School of Tanganyika, Dar es Salaam, Tanzania Effective Date: August 2025 School Overview: Student Enrollment: 446 students (Grades 6-12) Programs Offered: MYP, DP, HS Pathways & Life Centered Education...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tender – Supply Of Construction Materials For Primary School Classrooms at Plan International

    Invitation to Tender (ITT) Tender Ref. No. PIT/RUK/01/FY25 Supply Of Construction Materials For Primary School Classrooms, Nkasi District Council, Rukwa Region. Plan International is an independent development and humanitarian organization that advances children’s rights and equality for...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Request for Proposals – Consultancy services at Plan International

    Request for Proposals Consultancy services: Gender equality and inclusion. Analysis of district plan and budget RFP No. PIT / VUM/02/FY25 Plan International Tanzania is an International humanitarian child-centered development organization without religious, political or government...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu ajira UTUMISHI

    Habari za kazi kaka tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili. Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada ya afya kupitia sekretarieti ya ajira Baada ya mchakato wa kupata wanaostahili kwa usahili...
  18. The Lonnie

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

    Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari? Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania VAS Software Integration Engineer at Vodacom

    VAS Software Integration Engineer Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania System Admin: Contact & Digital Channels at Vodacom

    System Admin: Contact & Digital Channels Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic...
Back
Top Bottom