nafasi ya kazi

  1. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI

    NAFASI YA KAZI Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP. Duka lipo Ubungo Kibangu. Conditions 1. Awe wa kike na Awepo Dar es salaam ( preferably Ubungo) 2. Salary - 120,000/= kwa mwezi. 3. Conditions nyengine zitakuwa discussed...
  2. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  3. Geoid

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kupata nafasi ya kazi migodini kama hauna connection?

    Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbalimbali za kazi Konfa Enterprises Limited

    Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc ========= KONFA ENTERPRISES LIMITED General Trading Company established in 2006, Konfa has vast network of professionals...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

    Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B' Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
  6. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye Taasisi isiyo ya Kiserikali (NGO)

    Habari Wananzonde jukwaani Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote . Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama...
  7. sanga kariakoo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

    Anaitajika mwanamke mmoja tu Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya kompyuta

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  11. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu (Kisw & History) inahitajika

    Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Kusambaza vinjwaji kwa pikipiki

    Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji Eneo: Kimara Njoo p.m tujadili Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
  16. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Katika kiwanda chetu cha uzalishaji vifaa vya ujenzi wa kisasa kwa kutumia saruji (precast) tunatafuta msimamizi "manager" wa kiwanda. Kiwanda kina uwezo wa kuwa na wafanyakazi wa uzalishaji 21 na wasio wazalishaji 3 kwa shift moja. Tunataraji kifikie uwezo wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi anahitajika Fundi (Security Services Technician Trainee)

    Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia miaka 18-24. Awe mchapakazi , anayejituma, anayependa kujifunza, uelewa wa haraka , mwaminifu na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu wa hesabu

    Tunahitaji walimu wa hesabu kuanzia form 1 hadi 6. Kazi inafanyika online na utapewa test kabla ya kuanza. Kwa mwenye uhitaji tuma email: rubysinc2012@gmail.com
  19. EAPGS

    JamiiForums Tanzania We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals

    We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals to help us build up our business activities. Sales responsibilities include discovering and pursuing new sales prospects, negotiating deals and maintaining customer satisfaction. Responsibility Include; Conducting market...
  20. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
Back
Top Bottom