nafasi ya kazi

  1. Mediaty

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Habari za wakati huu wanajamii forum? Mi niko vyema kabisa! Kwa mara nyingine tena, nakuja kwenu, lengo ni kutafuta fursa ya kazi yoyote halali. Nina experience ya marketing and promo strategies kwa miezi kadhaa. Kuuza kwenye store za nguo, vyombo na vifaa vya electronic. Lakini pia ni...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  3. jangoma

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  4. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kuchomelea (Welding)

    Wakuu, natumai wazima. Nimekuja kwenu kwa niaba ya mjomba wangu. Mjomba wangu anahitaji kazi, nafasi ya welding. Ana uzoefu wa kufanya kazi kawaida na viwandani zaidi ya miaka minne. Ni kijana wa miaka 30 na ana uzoefu wa kufanya kazi Tanzania na Afrika Kusini katika kazi za kawaida na...
  5. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ualimu wa Kemia, Baiolojia, Historia na Jografia Shule ya Jifunzeni Mbeya

    Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA. NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu. VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye SoMo lake na mwenye uzoefu WA kutosha kufundisha KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA. MAHALI: MBEYA...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video na Mbunifu wa Michoro (Video content creator and graphics designer)

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator) Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu. Majukumu: 1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii. 2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho. 3. Kushirikiana na timu ya masoko...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mfanyakazi wa Bar (Mhudumu wa bar)

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoelezea hapo kama unahitaji, una ndugu, jamaa au rafiki anayehitaji kaz ya Kuuza Bar anicheki. Majukumu yake ni Kuuza na kuhudumia wateja. Umri 20"s Uzuri ni sifa ya ziada. HAIZINGATIWI. ENEO LA KAZI NI MBEZI KWA Msuguri Mhudumu atakuwa analala kwenye eno...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

    Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi.. Ni maamdalizi ya kazi kubwa ‼️Join Orchestra‼️...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi ya Msanifu Grafiki (2) JamiiForums June, 2024

    Position: Graphics Designer (2) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good governance. One...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi ya Msimamizi wa Maudhui (7) JamiiForums June, 2024

    Position: Content Manager/Moderator (7) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Civil Engineer 2

    Angalau awe amemaliza SEAP Programme in Road Construction. Experience: At least 3 Years in Road Construction Age: 18-30 yrs Tuma CV na Barua ya Maombi kupitia email: pinnan32@gmail.com Mwisho wa Maombi : 10 June 2024 Shortlist will be contacted ASAP
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chief Finance Officer at United Bank for Africa (UBA) April, 2024

    Position: Chief Finance Officer Location: Head Office JOB OBJECTIVE(S) To oversee all activities relating to financial management and financial reporting in the subsidiary. ROLE AND RESPONSIBILITIES • Implement financial policies, processes and internal control to increase organizational...
  14. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inagoma kuomba nafasi ya kazi

    Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma. Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category" Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha. Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza liquor store

    Habari za leo. Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili. Nichek PM
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi maabara

    Habari! Habari za mchana ndugu zangu, anahitajika mtaalamu was maabara ngazi ya Cheti jinsi Ke, Mshahara maelewano. Call: 0768396747 Ahsanteni.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi Community Development

    Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
  18. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya uokaji

    Nafasi ya kazi ya Baker mwenye uwezo wa kufundisha baking kwa wengine waweze kufanya baking.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi Mhasibu Msaidizi (1)

    SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla...
Back
Top Bottom