nadharia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mcqueenen

    Je, Evolution ni Ukweli au Nadharia tu?

    Mwaka 1859 mwanabaiolojia Charles Darwin alichapisha kitabu chake kuhusu chanzo cha viumbe wote duniani chenye jina “On the origin of species” Kilichoelezea theory yake ya evolution. Darwin alisema kwamba hivi viumbe vyote tunavyoviona leo (Aina Zaidi ya million 8.6) vikizagaa kwenye uso wa...
  2. N

    Nadharia Potofu na Ukweli Juu ya Magonjwa ya Figo

    Wazo Potofu: Magonjwa yote ya figo ni hatari. Ukweli: La, magonjwa yote ya figo si hatari. Yakitambuliwa na kutibiwa mapema, magonjwa mengi ya figo yanaweza kuponywa. Kwa mengi, utambuzi na matibabu hupunguza au kusimamisha kuendelea kwa magonjwa hayo. Wazo Potofu: Hitilafu ya figo huweza...
  3. Mhafidhina07

    how do you feel?

    kijana wa 1990 to below bado hujafanya mambo haya; 1.huna hata godoro au kitanda 2.unaishi kwenu na huna mpango wa kuondoka 3,wenzako wakiwa na familia zao wewe kazi kuwatembelea 4.huna kazi zaidi ya kufatilia movi za wakorea 5.unatmia pesa kwenye mamboyasiyo na maana 6.kuzi kufatilia stori za...
  4. Uhakika Bro

    Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo

    Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...
  5. Uhakika Bro

    Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  6. OMOYOGWANE

    Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  7. KENZY

    Worldwide: Unafikiri ni nadharia zipi ama vitu vipi tulilaghaiwa..?

    Sio katika misingi yote dunia imekuwa ikiongozwa katika usahihi!,zipo taarifa ambazo zimekuwa zikileta utata na imekuwa hivyo kwa makusudi ya watu fulanifulani. Zipo nadharia, taarifa na imani katika misingi yote ambayo kwako inawezakuwa ni taarifa aidha unamashakanayo ama unahakika kabisa...
  8. C

    Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    Wandugu, Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo...
  9. lwambof07

    Je, ni nadharia tu au ni kweli wapenzi wanaweza kunata wakati wa tendo la ndoa?

    Inaonekana ni kipande kisichofaa cha filamu ya mapenzi . Lakini taarifa kuhusu 'kunatana' wakati wa tendo la ndoa ni jambo lililopo kwa karne na karne - huenda zingine kukawa na ukweli. Safari ya kukimbizwa hospitali kwa dharura kamwe halijawahi kuwa jambo zuri, lakini pia siku kitu ambacho...
  10. Kasomi

    Gain acceptance/ Referrent power inavyoharibu dhana nzima ya uongozi

    Naam, Nchi yetu kwa sasa inazidi kuharibu dhana nzima ya uongozi sababu ya uwepo wa Nadharia ya Gain acceptance yaani kuhitaji kukubalika. Pia Nadharia ya Referrent Power yaani kuiga nguvu ya uongozi. Dhana hii ya Gain acceptance/ Referrent power inawaathiri sana viongozi na dhamira ya uongozi...
  11. Kasomi

    Gambosi (Gamboshi) na Nadharia ya uchawi

    Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi. Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...
  12. LIKUD

    Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  13. P

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  14. OMOYOGWANE

    Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

    Habari wakuu, Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako, Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili, Njia nzuri ya...
  15. OMOYOGWANE

    SoC01 Maana ya Furaha na Nadharia ya Punda anayekimbiza karoti

    Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa...
  16. B

    Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao

    Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
  17. Victor Mlaki

    Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
Back
Top Bottom