Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara.
Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule! Hii imekuwa changamoto kubwa sana na ukiangalia form 3 wapo wanafunzi 315, hapo bado form four...
Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani
Vimewaponza kwa kupoteza maisha
Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu
Vimewaponza kwa kupata ulemavu wa kudumu
Vimewaponza kwa kupata kesi mbalimbali zikiwemo za mauaji...
Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
UTANGULIZI:
Anunaki (ANUNNAKI) ni jina linalotokana na maandiko ya kale ya Sumeria, Akkadia, Ashuru na Babeli (eneo la Mesopotamia ya kale—leo ni Iraq).
Hawa Anunaki walikuwa miungu katika imani za watu wa maeneo hayo. Kuna maelezo mbalimbali kuhusu wao, lakini kwa ujumla, Anunaki...
Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy.
Cooper alidai...
1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana.
2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa...
Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo mpya juu ya asili ya ulimwengu na mahali tulipo. Kuna nadharia nyingi za kuvutia na za kushangaza...
"Nadharia ya Farasi Aliyekufa" ni sitiari ya dhihaka inayoonyesha jinsi baadhi ya watu, taasisi, au mataifa hushughulikia matatizo ya wazi yasiyoweza kutatuliwa. Badala ya kukubali ukweli, wanashikilia kuhalalisha matendo yao.
Wazo la msingi ni rahisi: ukigundua kuwa unapanda farasi aliyekufa...
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art"
Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake...
Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake.
Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani
Mafundisho ya Dini hizi yanasema bila aibu kwamba ; 👇👇👇👇
" Mwenyezi Mungu alituumba wanadamu ili tumuabudu"
Nikasema...
Nilisema ndoto ina definition tofauti. Moja kati ya definition za ndoto ( my personal definition) ni : 👇
Ndoto ni ' kioo cha kiroho' kinacho tumika kukuonyesha wewe ni nani katika ulimwengu wa roho.
Kwa maana ya kwamba unayoyaona kuhusu wewe katika ndoto unazo ota usiku ni reflection ya...
Bwana mmoja aliwahi kuniambia kuwa
‘Wale watu weupe , walileta viwanda vya sinema za ngono ili jamii ijifunze dhana ya mapenzi kwa upana’ ,
Sikutaka kukubaliana naye , niki dhani kuwa
‘walileta hivyo viwanda ili kuiharibu jamii kisaikolojia katika muktadha wa mapenzi ili wapige pesa...
Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
Hivi karibuni makundi ya Fatah na Hamas ya Palestina yalifanya mazungumzo ya mardhiano mjini Beijing, mazungumzo ambayo yaliitwa na chombo cha habari cha Marekani, Associated Press, kuwa juhudi za karibuni za China kujiweka katika nafasi ya upatanishi katika Mashariki ya Kati kama mbadala wa...
Wakuu habari!
Leo nikiwa barabarani niliona magari mawili yaliyotaka kugongana uso kwa uso ghafla likanijia wazo ambalo limenisukuma kuandika uzi huu namna ya kuzuia ajali kama hizi.
Picha nmetoa mtandaoni
Kikawaida ncha mbili za sumaku zikikutana hukwepana, mfano angalia hapa chini kwenye...
Asili ya neno "sanpaku" inatoka katika lugha ya Kijapani. "Sanpaku" ni neno la Kijapani linalounganisha maneno mawili: "san" linalomaanisha "tatu" au "tatu tatu," na "paku" linalomaanisha "kusonga" au "kuhamia."
Hivyo basi, "sanpaku" linaweza kumaanisha "tatu tatu zinazoendelea" au "tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.