nacte

  1. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri...
  2. Waraka maalum kwa NECTA, NACTE na TCU

    Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI. TULIPOTOKA Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni...
  3. Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Nacte kanda ya kati

    Habari za jioni wana jf, Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
  4. F

    NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

    Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
  5. NACTE Guide BOOK ya Diploma and Certificate za Vyuo Vikuu

    Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM Sasa leo nimekutana "THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY UNIVERSITIES ADMISSION GUIDEBOOK FOR 2020/2021" kwenye web page ya NACTE ambayo haikuwa na maelezo yeyote...
  6. R

    Msaada tafadhali: NACTE watafungua lini maombi ya kujiunga na vyuo vya kati ukiacha vya Afya?

    Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze. NACTE tunaomba majibu!
  7. Naomba kusaidiwa jambo hili juu ya NACTE

    Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu. Napata option moja tu ya health and allied sciences, msaada naombaje kozi za ualimu NACTE?
  8. R

    NACTE Admission 2020/2021: Kozi zingine zaidi ya afya application ni lini?

    Inaonekana kozi zingine bado dirisha kufunguliwa ukiacha za afya, je kozi zingine lini dirisha litafunguliwa? Tangazo lao linasoma hivi: Welcome to Student's Admission Verification System for Certificate and Diploma Applicants. The System allows you to apply for Admission into Certificate and...
  9. R

    Dirisha la udahili NACTE limefunguliwa leo 15/6/2020

    Vijana changamka, omba vyuo. Kila la heri! === Moderators samahani mliweka Tangazo la mwaka jana. Nimefanya editing na kuweka la mwaka huu posted on 15th June 2020 BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA...
  10. P

    Msaada naomba kujuzwa ofisi za NACTE zinapopatikana kwa mkoa wa Mbeya

    Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
  11. R

    Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Jamani naomba mwenye kujua dirisha na kuomba vyuo NACTE kwa intake ya October linafunguliwa lini anijuze. Au mambo ya kufungua dirisha yaliisha?
  12. S

    Msaada kutoka kwa mamlaka ya NACTE au yeyote anayejua maana ya hii kitu

    Matokeo ya mitihani ya NACTE yanaonyesha kama ilivyo kwenye jedwali lao la matokeo. Maana ya REPEAT ni nini? wakati katika baadhi ya wanafunzi hana somo alilofeli hata moja. Mfano: candidate namba 116, 123, 128, 129, 136 etc. Msaada please Naweka attachment ya matokeo toka NACTE
  13. R

    NACTE lini mtafungua dirisha la kuomba vyuo?

    Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
  14. S

    Udahili NACTE utaratibu ukoje 2020? Naona siku zinapita

    Wazee, udahili wa march for October intake ni lini? Nona siku kama hizi miaka iliyopita huwa dirisha limeshafunguliwa. Tupeane taarifa please
  15. NACTE yavifutia usajili Vyuo vya Ufundi 10 kutokana na kutokidhi vigezo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo. Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa...
  16. P

    Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE?

    Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE? Naomba ufafanuzi.
  17. P

    NACTE wanafanyaje hapa?

    Hope mko wazima wa afya. Naomba kuuliza kwa wanaofahamu jinsi hawa NACTE wanapata GPA ya mwisho inayoweza kumpeleka mwanafunzi elimu ya juu (degree). Je wanachukua ile GPA ya semester ya pili ya mtihani wao? Au wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili? Please msaada wa dhati kabisa...
  18. Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

    Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…