nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  2. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu

    Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla wake huwa ni hofu tuu na kutotulia kwa akili... Hawa watu wanakutia hofu zaidi halafu kimbinu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

    Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli. Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair. Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
  4. JamiiForums Tanzania FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

    Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
  5. JamiiForums Tanzania Prophet Denis atoa Unabii: Kuna kiongozi ambaye anakubalika sana na watu akionekana ni mwema anautaka ubunge, ila Mungu amemkataa

    Huyu Prophet Denis alitoa unabii wake Mei 11, 2025 kuhusu moja ya kiongozi ambaye ni mkuu wa mkoa anaoneka kukubalika na watu sana kwahiyo kutokana na kukubalika kwake akajiona anastaili kugombea ubunge lakini si mtu mzuri kabisa na Mungu amemkataa. Sasa ni nani huyu ?
  6. JamiiForums Tanzania Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

    Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Nabii Mtalemwa azungumzia madhara ya kulazimisha watumishi wanyamaze, na wasihoji

    Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki." Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Nabii Bashando awalilia waliotekwa

    Huyu hapa yupo live kabisa https://www.facebook.com/share/v/1BzNi3Gu2A/
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye Biblia: Kila kiongozi wa kisiasa Mungu alimwekea Nabii wa kumkosoa, kumuonya na kumwelekeza

    Wakuu tushirikishane hili jambo. Katika Biblia, nimesoma kwamba, (awali) Mungu alipokuwa sanjari na Waisraeli. Kuanzia Musa mpaka Joshua. Baada ya hapo, Waisraeli wakataka wawe na mfalme wao. Wakampata Sauli. Lakini hakuenenda sawa na maagizo ya Mungu. Sauli akatolewa, Mungu akamweka Daudi...
  10. JamiiForums Tanzania Kujua yatakayotokea 2025 nchini huitaji uwe nabii

    Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili. Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti. Nakupa mfano mmoja, Daudi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ni Nabii halisi sawa tu na Yohana Mbatizaji wa enzi zile

    Salaam! Watu watofaitishe uchungaji na unabii, Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema. Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo...
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kama mnamuamini Mitume na nabii Bulldozer,mbona baadhi yenu hamuwaamini Hawa,kwani wao sio watumishi wa Mungu?

    Kila mtu anaamini katika Imani yake. Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake. Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu. https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/ https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
  14. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waroma wanaamini Bob Marley ni NABI MWEUSI lakini waafrika wafia dini wanaamini manabii ni mohamad na yesu tu

    Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe. Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism. Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia...
  16. JamiiForums Tanzania Harakati za kuusambaza upendo, ngono na kuzimu. Mjue nabii David Berg na wana wa Mungu (CoG)

    Hii ni picha ya miaka ya 1970s. Unaowaona hapa kwa tafsiri ya haraka unaweza sema ni mabinti walio na furaha na tabasamu pamoja na amani mioyoni mwao. Picha hii ya pamoja ni ya waumini wakiwa pamoja na mchungaji au Nabii wao ,wakieneza injili ya neno la Mungu na kuhubiri UPENDO kwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

    Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  19. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya Biblia Agano Jipya (2): Kwanini Yesu alipofufuka hakujionyesha kwa makuhani na mafarisayo kuthibitisha mfano wa nabii Yona?

    Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…