nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

    Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl . Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Yesu Hachukuliwi Kama Nabii kwa Wayahudi?

    Yesu alizaliwa Myahudi, aliishi katika mila na desturi za Uyahudi, na alitumia maandiko ya Torati na manabii waliomtangulia kama msingi wa mafundisho yake. Hata hivyo, Wayahudi hawakumkubali kuwa nabii wala Masihi. Swali kubwa ni kwa nini? 1. Kigezo cha Nabii kwa Uyahudi Katika Uyahudi, nabii...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Neno(Biblia) Hilo chukizo la uharibifu lilonenwa na nabii Danieli ni chukizo la namna gani?

    Danieli 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu. Yesu pia alisema kuhusu hilo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

    Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana Ninajua Lisu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nabii Issa ameshuhudia na kutabiri mwenyewe kwenye kurani 19:30-31 kuhusu , siku ya kufa na kufufuliwa kwake

    Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29) (Yule mtoto) akasema: “Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii. Amenifanya mbarikiwa popote...
  8. JamiiForums Tanzania Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  9. JamiiForums Tanzania Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🤣🤣🤣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🤣🤣🤣

    Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  13. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli Wakiristo na Mayahudi duniani hawamkubali Nabii wa mwisho Mohamed kwakuwa siyo Myahudi

    Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  16. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  17. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

  19. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
  20. JamiiForums Tanzania Hebu msikilizeni Nabii Mtishiby juu ya hatima ya Tanzania!

    Watu wa rohoni huu Unabii juu ya hatima.ya Tanzania mnauonaje!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…