na rais

NA-173 (Rahim Yar Khan-V) (این اے-173، رحیم یار خان-5) is a constituency for the National Assembly of Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mo29; Ole wake atakayeandamana. D9; Nimetumwa na Rais niwaombe msiandamane. Kwa kinyonge sana

    Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee. Mwigulu: Rais anawashauri wananchi muitumie tarehe 9 desemba 2025 kwa mapumziko hivyo kushereheka...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mpina aliitwa mbunge wa Taifa na Rais Akihito kumteua katika nafasi zake 10

    https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais? Kule Zaire Mobutu alikua na...
  10. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Byabato hauwezi kushindana na Rais, kaa chini ujitafakari !.

    Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini? Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka" Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
  11. H

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
  12. D

    JamiiForums Tanzania tungekuwa na rais wa kueleweka viwanja vya mpira vingekuwa atleast 5-10 by 2027,

    I will be short our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us. With an unvisionary president for 2027, we could have solved the field problems in our league as AFCON offers us the opportunity to...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu: Huu ndo mradi wa kuzinduliwa na Rais?

    Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika. Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye...
  15. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

    Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM toka upinzani hawawezi ongoza kura ya maoni CCM labda Kwa kubebwa na Rais tu hata wakishindwa.

    Hii wanapaswa kulijua mapema. Msigwa, Bulaga, Matiko n.k. Msihangaike hata kutumia pesa kwenye kampeni.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
Back
Top Bottom