mzungu

Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  2. Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

    Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike...
  3. Nani amewahi shika nywele za mzungu au Singasinga?

    Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu. Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna...
  4. Mohamed Said ''Gaidi Mzungu wa Unga" 2007

    https://youtu.be/l8hm_snQlbE?si=LK88xQE7xF3g1C5n
  5. Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  6. Watu wanasema huyu ni mzungu wa mchongo 😂😂

  7. Video: Polisi wa usalama barabarani akiomba rushwa ya 10000 kwa mzungu. Aibu!!!

    Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada. Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao. Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa. Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡 ============ Polisi wala...
  8. M

    Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

    Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira. Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
  9. Afrika na dini, mzungu na rasilimali

    Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu. Hapa. Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣 Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
  10. I

    Wakili mzungu hawezi kutetea demokrasia inayoliliwa na CHADEMA

    Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani. Wakoloni...
  11. Nilivyopata Demu Mzungu

    Habari wazee Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kumpata mrembo mzungu. Sio kwa ubaguzi, la hasha lakini kwa sababu maisha yangu Dar es Salaam yalikuwa ya kawaida tu. Nilikuwa kijana wa mtaa wa Kinondoni, na maisha yalikuwa ya harakati tu kazi, ndoto, na vuta subira. Siku moja jioni...
  12. Mzungu wa SportyBet kajichanganya na hii Option ya 1UP

    Naona Mzungu kaamua kutupoza na machungu, kaamua kuweka option ya 1up, wahini mapema kabla hajatoa hii option....odds zipo mlima sasa tushindwe wenyewe.
  13. Mzungu : Waafrika msimkimbilie Ulaya. Tanzania kuna maisha mazuri kuliko Ulaya

    Personally. I agree with him. ( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment) Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
  14. D

    Nimependwa na Mzungu; tunaweza kudumu bila kumlamba chumvi? Nisaidieni wazoefu

    Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba. Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
  15. Ukristo Unafundisha Upendo, Mzungu Mwenye Jaziba Katulizwa na Upendo Na Sala

    https://www.instagram.com/reel/DJ0To8sRded/?igsh=MWhjaWJwb3l4Nmp6Zw==
  16. Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  17. Haitakaa itokee Afrika ipate Papa Mweusi

    Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo? Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja. Ukweli ni kwamba...
  18. Sijawahi kuona mzungu akitafuna mfupa wa nyama

    Wakuu Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
  19. Mzungu akikupa msaada jua kuna kitu utampatia tu

    Je? Hicho kitu ni kitu gani mpaka sisi waafrika hatukioni. Kwa waafrika wenzetu.
  20. H

    Waafrika tuanze kuona kuwa adui yetu ni "mzungu"

    Ni muda wa kutosha sasa kutambua na kuamka kwa kila mtu kuwa umasikini sio mcpango Mungu bali ni mpango wa wazungu hivyo hakuna sababu ya mtu yeyote kuwa masikini au mwenye njaa au kuishi bila nyumba ya kuishi wakati Afrika inao utajiri wa kutosha unaoibiwa na wazungu kwa kushirikiana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…