mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hawa Marapa walimkataa Drake na muziki wake

    Mvutano Kati ya Drake na Marapa Dmx, Mos Def, Joe Budden na Kendrick Lamar Mvutano kati ya Drake na marapa wengine umekuwa sehemu ya historia ya muziki wa hip hop, ukionyesha jinsi ushindani na migogoro ya kibunifu inavyochangia kukua kwa tasnia hii. Hapa kuna muhtasari wa migogoro hiyo: 1...
  2. Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  3. Wasanii wetu hawawezi kushinda Grammy labda wafanye sampling ya Mziki wa Kihaya

    Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
  4. QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  5. Unawafahamu watu hawa katika tasnia ya mziki aina ya mnanda ISIYAKA a.k.a kwala rumpa na salma miwanja?

    Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida nao watu hawa kama bado wapo hai?naimani kwa wakongwe wa miaka hyo wanawafahamu balaa lao na vituko...
  6. Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  7. Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  8. Ushindani uliowahi kusumbua mziki wetu miala ya 2000

    Juma nature vs inspector haruni ECT vs wanaume family TID vs Dully sykes Matonya vs MB dog Marlaw vs Alikiba Saida karoli vs maua Diamond vs Belle 9 River camp vs N2N Zay B vs Sister P
  9. B

    Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

    Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika, Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa...
  10. Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  11. Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

    Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material...
  12. V

    Nikumbusheni radio inayocheza mziki wa Country and soul

    Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati Ni muda sikwepo Nimetune redio zote sijapata Atakuwa redio gani huyu mwamba kwasababu anajua sana mziki mzuri na masimulizi ya hapa na pale
  13. Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  14. Jipatie vifaa vya studio (audio recording) kwa bei nafuu

    SOLD
  15. Nahitaji bass spika ya mziki wa gari 10 inch

    Wakuu mulibwanji..... Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi. Iwe 4 ohms Iwe na double coil Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2. Iwe haijawahi ungua. Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck 0756 412 380
  16. A

    KERO Kero ya mziki wa Bar ya Kisuma 5G Temeke mwisho

    Hivi mamlaka husika zilikwenda likizo au ilikuwa ni agizo la muda mfupi au tuseme hawa Kisuma 5G wapo juu ya sheria? Hii Bar imekuwa kero kwa wananchi wanaoishi jirani kwani kelele za mziki hazivumiliki usiku kucha. Tunaomba mamlaka husika walitazame hili.
  17. Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

    Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
  18. Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  19. Unaweza ukahisi industry inayoendesha uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mpira, comedy na muziki

    Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa tumechezea majanga ya asili ya kutosha. Sijasikia wabunifu wa sayansi na teknolojia kuitwa ikulu au kwenye...
  20. Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…