Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe...