mzee

An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba kuna pumzi ya mwisho. Zingatia maisha baada ya Dunia

    Is as if watu hawataondoka kwenye Ardhi hii. Hili sio Kwa Makamba senior pekee. Viongozi wote mjue Kuna maisha baada ya haya. Wekeni maslahi zenu pembeni, ongea uhalisia. Ukweli na Kwa uaminifu. Ni vigumu sana kupata heshima kw njia ya zomeazomea. Najua watu hawaielewi zomeazomea. Hili Lina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

    CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu. Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwambieni mzee Makamba kuna maisha baada ya kufa, yeye halijui hilo?

    Unjani sabuwona Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au? Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

    Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa! Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini! Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba, Kama unataka January awe Rais chunga ulimi wako usimharibie

    Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki. Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa. Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM wataka wajumbe waridhie Rais Samia kugombea 2025

    Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025. "Naona kila...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: 2025 Rais Samia lazima agombee

    Mzee Makamba anasema 2025 hakuna mjadala Rais Samia Suluhu atagombea urais tena. "Uchaguzi umekwisha sasa tunajiandaa na ligi ya 2025, na tunashinda kwa sababu wapinzani wetu ajenda zao ni mbili tu Katiba na Tume ya uchaguzi tu, kule kwetu Bumbuli hawashibi katika, wala mama yangu ukimuuliza...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu mzee alijiunga na CCM lini?

    Nijuavyo alikuwa ni mtumishi wa umma huko Zanzibar. Sasa hayo manguo ya kijani vipi tena leo?
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Safi Sana Mzee Makamba!

    Hivyo ndivyo yanavyopaswa kujibiwa maswali ya kipashkuna, Hivyo ndivyo anavyopaswa kujibiwa mwandishi anayesukumwa na wambea wa mitandaoni, a.k.a haters badala ya utaalamu wa taaluma yake. Hivyo ndivyo wanavyapswa kujibiwa haters wa makamba wote waliopo humu mitandaoni ambao masikio...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alieongoza Tume ya Katiba, ndio anastahili kupewa Udaktari wa Heshima

    Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani. Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 70 afariki akisubiri mbolea ya Ruzuku

    Mzee wa miaka 70, Bw.Seif Mwangaeka mkazi wa Kijiji cha Mkurumusi, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, amefariki dunia akiwa kwenye kituo cha kuuzia mbolea ya Ruzuku cha Kigonsera na kusababisha kituo hicho kufungwa kwa siku moja kuomboleza kifo hicho. CHANZO: ITV
  14. JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

    Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo . Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  16. JamiiForums Tanzania Kisa cha Nabii Mzee na Nabii Kijana jinsi kinavyoweza kuimarisha Imani yako

    KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO Na Shemasi Jimmy 0659611 252 Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa. Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wapi Mzee wa likes mkwepu jr

    huyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
  18. JamiiForums Tanzania Hapa mzee amezingua kinyama. Aambiwe tu asifanye issue kuwa ya jamhuri wakati ni family matters

    Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele. Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna kuna mchekeshaji ambaye aliwahi kuchekesha na kukonga nyoyo za watu redioni kama Mzee Jangala?

    Kwema wakuu, mishe zinaendeleaje, Wakuu kwa wale wakongwe wa miaka ya 80s, bila shaka mtakuwa mnafahamu mchekeshaji huyu ambae alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na fani yake ya uchekeshaji yani comedian. Mzee Jangala alikuwa na timu yake ambayo ilisheheni watu waliokuwa wamebobea katika...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Shamte umenyamazishwa lakini haki ni asili, itadaiwa tu

    Haki daima huwa ni ya asili ni vigumu kuzuia isidaiwe. Sheria ya maisha ya binadamu huonesha ukweli huo. Marekani walidhani kuwa kumuua Martin Luther King na Malcolm X watakuwa wamefanikiwa kunyamazisha ujumbe wao. Likawa ni kosa lililofanywa na CIA, wakaibuka wapigania haki wengine wa miaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…