An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.
Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters).
Mwandishi au waandishi wa...
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya?
https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
Tafadhali my friends, ladies and gentlemen,
Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake nayo ikachukua hatua muafaka, imsaidie Mzee apate medical attention ya maana, apate utulivu na muda...
Nchi hii tulipofika lolote anaweza kufanyiwa. Kama hatumuoni Nchimbi, Yuko wapi Nchimbi? One has a justified suspicion of who might be behind this! The culprits! Why not Warioba kumfanyia akaanguka jukwaani maana anawapinga kwa matendo yao.
Mkimbizeni popote be it London, , USA...
Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
Mzee wetu kachoka sana, walikosea kumpa muda mrefu sana wa kusimama na kuongea.
Yeye kashafanya zamu yake imetosha, haya ya sasa atuachie sisi wenyewe tuhangaike nayo. Apunzike tu.
https://www.youtube.com/live/wEUJIEJ28Ts?si=ydn-fstezmmkfSAe
Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.
Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau.
Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma.
Tayari...
Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake.
Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo, baba yangu ni mmiliki halali wa eneo hilo tangu mwaka 1984, lakini kuanzia 2004 amekuwa akipambana na...
NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa.
HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na upinzani.
Hivi kabisa mbinu zake hizi kwa sasa kwanini hawazitumii??
Pia nikikumbuka alivyomjibu kagame...
Mimi kama... 🤔
Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli.
Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka...
Leo, Septemba 6, 2026, inatimiza miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tukio hilo bado hayajawekwa wazi. Pumzika kwa amani, Ali Kibao, tutakukumbuka daima.
=====
September 6, 2026, marks two years since his death, but to this day, the results of the...