Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.
Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?
Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...