Hamjambo wote!
1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea.
2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI.
3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
Kuna baadhi ya kauli ukizisikia zikitoka kwa viongozi wa CCM, unabakia unajiuliza, hivi ndani ya CCM hakuna watu wenye akili kubwa, mpaka chama kinaamua kuwapa uongozi watu ambao, kwa kipimo chochote, ni watu wenye akili duni, waliojaa unafiki mkubwa?
Kauli za Kihongosi hivi karibuni dhidi ya...
Kuna chawa anaitwa kikaragosi aka kihongosii. Juzi, alijitokeza na kujaribu eti kumkosoa mzee Warioba. Kumkosoa mtu yeyote si kosa. Ila kosa ni kushindwa kujibu hoja na kuzua matusi na uzushi. Huyu kikaragosi ashindwa na kulegea. Onywe.
Warioba siyo saizi ya kikaragosi. Siyo chawa wala zezeta...
Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi wake katika taifa letu la Tanzania. Adui ni adui tu hata kama umenyamaza.
Hotuba ya warioba...
Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu.
Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba.
Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM?
Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania muda utawajibu mtapata nafasi mtakula maisha ila mtafutika na mahala penu hapatakuwepo kama mnabisha...
Mzee warioba amecheza kama Messi, Rais anatafuta watu apige nao picha ilikuonesha anaumoja sasa huyu mzee baada yakutoka pale amepiga mawe bora asingemuita.
Sasa amuite na Lissu aje kumshona vizuri.
Hatutakuwa kitu kimoja lazima atawajibika kwa mauwaji yaliyofanyika.
Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu.
Sisi vijana tunategemea tuambiwe uchungu wa kulinda amani ya Taifa letu, tunataka tuambiwe juu ya thamani ya Amani tuliyonayo sasa...
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
Serikali inahusika na mauaji
Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
Huyu Muhuni aliyezeeka anaonekana kuna vitu vingi yuko behind na ndo mpishi wa haya yote amekosa maadili ya Uongozi na Uzee wake inatakiwa akamatwe mara moja kwa vitendo vyake vya kihuni.
Juzi Kati alikua na Mazungumzo na Rais wa Jamuhuri Ikulu alikua katika Position ya Kushauri kuuliza na ku...
Picha zilitoka juzi wakionekana Ikulu.
Katika hali ya mauaji yale , kweli waliigusia? Samia alijibu vile vile kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi
Mze Warioba alimshauri nini?
Lets guess!
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.
Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa...
Jaji Warioba alikutana na Samia jana. Hatukuia walizunhumza nini. But.most likely ni mauaji yaliyotokana na uchaguzi bandia.
Najiuliza walizunhumza nini na alikuwa na ujasiri wa kumwambia matakwa ya wananchi na chanzo kikubwa cha machafuki hayo ya 29
1. Katiba mpya
2. Tume huru ya uchaguzi
3...
Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention.
Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali.
Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi.
Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii inaonyesha sasa umefika mwisho wa uvumilivu na kuheshimu hawa viongozi wenye Viburi.
Umetamka kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.