mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Hivi, ni sahihi kwa Mtoto kumchukia mzazi wake kwasababu ya kuachana kwa Wazazi?

    Kuna tabia nimeiona kwa baadhi ya watu kwenye maisha ya kawaida. Siyo mara moja nimekutana na scenario ya unakuta mtoto wa kiume/mwanaume anamchukia baba yake kwa sababu alimwacha mama yake akiwa mdogo au akiwa tumboni. Utasikia, “Unajua mimi hatuna maelewano na mshua/mzee kwa sababu...
  2. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  3. M

    Kiberiti kimelowana. Jibu kama mzazi wa kiswahili ambaye hana hela

    Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi. Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
  4. Poor Brain

    Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Wakuu Salama humu ndani... Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling... Sio kwamba jamii nayokaa nayo...
  5. M

    Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

  6. O

    Ukimwambia mzazi Sina, does it feel like betrayal ?

    Ukipata job Kenya, mshahara si yako peke yako. Before ujipange, kuna rent ya nyumbani, school fees ya siblings wako wadogo, hospital bill ya mzazi. Supporting family ni culture yetu na ni love. Lakini let’s be honest… How do you save or invest when every month kuna emergency? Is it...
  7. Desierto

    Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  8. ERTUGRUL BEY

    Mzazi wewe ndio unayekuza kijana shapu au goi goi

    My people, Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani. Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
  9. Just Pray

    Sikiliza huyu mzazi, mtoto wake alifukuzwa shule ili aende VETA kisa uwezo mdogo, mzazi akakaza form four akapata zero

    'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu anauwezo mdogo' amesema mzazi
  10. Fbn

    Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

    Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
  11. Kimbesa11

    Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  12. Inside10

    Gerson Msigwa: Poleni mliopata sintofahamu kutokana na baadhi ya mitandao kuandika nimefiwa na Mama Mzazi

    Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama kutokana na jinsi alivyotuongoza akiwa Mkuu wa Kanda ya Nyasa wa TBC. Tulimwita Mama kwa sababu...
  13. M

    Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  14. Mwachiluwi

    Unamsaidiaje mzazi kama huyu aliyekuwa anakataa mwanaye kutokuwa mtukutu?

    Wakati anapewa malalamiko ya tabia za mwanae alikuwa anaona mwanae anaonewa, unamwambia mwanao anavuta bangi huyu mama anakuja juu mnamsakama mtoto kisa hana baba Mtoto anatoroka shule anakwenda shinda beach siku nzima walimu wanatoa taarifa za mtoto unamwambia mama yake mama anasema walimu...
  15. Expensive life

    Kama mzazi imeniuma, kuna yeyote anamfahamu huyu mtoto?

    Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam. Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
  16. Vincenzo Jr

    Wazazi mnaowapeleka Boarding school watoto wadogo

    Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding? Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
  17. Zirconium

    Kipi bora kwako kama mzazi kwa watoto wako?

    Kukuza watoto wako wawe kama Winga / mshambuliaji inaweza kuwa biashara yenye mashaka . Ukikuza kuwa mabeki ( fullbacks ) ambao watatoa 7/10 kila wiki uwanjani . Hawa ndyo watadumu kwenye timu moja kwa miaka 10 na zaidi. Watoto wangu watakuwa na picha za kina Mohammed Hussein( Zimbwe Jr ) ...
  18. Nikola24

    Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana. Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe. Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo. Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
  19. Daby

    Ms Rachel: Mwalimu,mzazi wa pili na dada wa kazi wa Youtube

    Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa. Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
  20. M

    TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

    Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025. Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga. Ibada ya misa takatifu ya...
Back
Top Bottom