Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta.
Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
Nyuma ya mtoto aliye imara kuna mzazi aliyepambana kimyakimya.
Naona wazazi ni watu wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Si kwa sababu tu wanatulea, bali kwa sababu ya uzito wa jukumu walilobeba tangu siku ya kwanza tulipoingia duniani. Uzazi sio tu tendo la kuleta kiumbe hai, bali ni safari ya maisha...
WAZAZI "PARENTS =PAIR RENT
Katika ulimwengu mzazi ni yule aliyemleta mtoto duniani – mama na baba
Hiyo ni tafsiri ya kijamii na kibiolojia. Lakini katika ulimwengu wa kiroho na hekima ya ndani, jukumu la mzazi lina maana pana zaidi inayogusa roho na asili ya uhai.
Uumbaji wa maisha unahitaji...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi.
Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
Naomba tujadili hii hoja.
All I know people join in military because had no better option in life .
Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
-Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa)
-Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere
Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu.
Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu.
Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa.
Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa .
Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
Na Astrosecrets Tz
Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na kila mmoja huja na ramani yake ya ndani ambayo inafichwa kwenye
Tarehe ya kuzaliwa (Numerolojia)...
Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara).
Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake...
Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k.
Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali,
Mali mnazijua kupitia watu...
KATI YA MZAZI NA MTOTO NANI ANATAKIWA KUMFAFUTA MWENZAKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Baadhi ya wadau walinipigia simu katika nyakati tofautitofauti wakiwa na visa binafsi tofautitofauti. Waliniuliza, swali hili; Kati ya mzazi na Mtoto Nani anatakiwa kumtafuta Mwenzake?
Swali Hilo...
Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze...
Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.