Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi.
Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa...
Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao.
Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu.
Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar.
Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha yake kama kawaida au hata kama akikubali kosa inakuwa ni ile ya ilimradi.
Unakuta umekula mkong'oto...
Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka
Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.
Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
Anonymous
Thread
hostel
katika
kidato
kidato cha nne
kisarawe
kulazimishwa
makurunge
mimi
mkoa
mwanafunzi
mzazi
pili
sekondari
shule
shule ya sekondari
wanafunzi
Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi.
Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
Wakuu Salama humu ndani...
Kama umesoma uzi wa mimi kutaka sana kukaa kijinini basi mambo yalianzia huku
Wakuu mimi nipo salama kabisa physical lakini kichwani hapana nina pitia mengi sana kiasi ambacho nahitaji msaada wa karibu wa mawazo pamoja na cancelling...
Sio kwamba jamii nayokaa nayo...
Ukipata job Kenya, mshahara si yako peke yako.
Before ujipange, kuna rent ya nyumbani, school fees ya siblings wako wadogo, hospital bill ya mzazi.
Supporting family ni culture yetu na ni love.
Lakini let’s be honest…
How do you save or invest when every month kuna emergency?
Is it...
My people,
Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani.
Mtoto anapomaliza kula na kisha mzazi ukamuondolea sahani yake,hii inamjenga mtoto akilini kwake kwamba kuna mtu...
'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu anauwezo mdogo' amesema mzazi
Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu.
Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla.
Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram
Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama kutokana na jinsi alivyotuongoza akiwa Mkuu wa Kanda ya Nyasa wa TBC.
Tulimwita Mama kwa sababu...
Wakati anapewa malalamiko ya tabia za mwanae alikuwa anaona mwanae anaonewa, unamwambia mwanao anavuta bangi huyu mama anakuja juu mnamsakama mtoto kisa hana baba
Mtoto anatoroka shule anakwenda shinda beach siku nzima walimu wanatoa taarifa za mtoto unamwambia mama yake mama anasema walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.