Mzaha: Kuingia hospitali unatakiwa kuvaa barakoa, ukifika unakuta watumishi wote hawana barakoa

Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?
Swali ni kwamba, Je wewe ni miongoni mwa hao wafanyakazi? Kama wewe sio miongoni mwao Haina haha ya kuwaiga..

Ya kaisari mpe kaisari.
 
ukiwaza sanaa waeza kuta waliougua COVID-19 wengi wao ni wale walokuwa wanchukua tahadhari za kuvaa barakoa (kwenye mikusanyiko/daladala etc) na kusafisha mikono kila maraaa
 
Pengine mlinzi anatimiza wajibu wake,pengine anapata percent ya wauza barakoa hapo jirani..
Pengine wauguzi na wafanyakazi wengine ni reckless kama tulivyo asilimia kubwa kwenye jamii..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
juzi nilikua kituo cha mwendo kasi,mlinzi kakomaa nivae barakoa bahati mbaya sikuwa nayo, akasema ninunue zinauzwa pale pale, nikamwambia naja nikatoka nje ya kituo nikanunua nilivorudi kituoni mlinzi alikasilika atari, nimeingia kwa basi nakuta robo tatu ya abilia hawana barakoa nikashangaa
 
IMF wametupa mkopo Tanzania wa 1.3 trillions ili kupambana na COVID-19 lakini badala ya pesa hizo kutumika katika kupambana na corona kwa kununua vifaa mbali mbali ikiwemo barakoa kwa madaktari na manesi hii Serikali haramu pesa hizo imeamua kuzipeleka kwenye ujenzi wa barabara!!!!
😳😳😳😳
Getini unakutana na mlinzi anakwambia uvae barakoa. Sasa ukifika huko ndani unakuta wafanyakazi wote hawana barakoa. Au kuna utaalamu fulani?
 
Hospital sio Sehem salama vaaa kwa faida yako hao unaowaona hawajavaa sio kazi yako

Kuna muhudumu wa mochwari ugali anaulia kulekule Kwenye mafriji yake hana habari
 
Maigizo ya bongo, kuna chama kamati kuu ilikuwa inakutana facebook eti kujilinda na korona. Aisee
 
Back
Top Bottom