#COVID19 Dkt. Dorothy Gwajima: Tusifanye mzaha na Janga la Corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.

ddd.jpg

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.

“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.

“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.

Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.

“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
 
Hata Sabaya aliambiwa na Mbowe safari hii ataozea jela.

Lakini sasa wote watakutana Kisongo
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.

ddd.jpg

Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.

“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.

“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.

Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.

“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
"Nani alisema mimi na mume wangu hatujifukiziiiii"
 
Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.

“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima
Ndimi zake mbili ndizo zimetufikisha tulipo, Samia alitakiwa kuwa na Waziri mpya kwenye hii nafasi, haileti maana mtu aliyekanusha ugonjwa haupo leo myu huyohuyo anasimama na kujipinga mwenyewe, wananchi hawawezi kuichukulia maanani kauli yake, hapo anahitajika Waziri mpya, kauli mpya, ubunifu mpya, mkakati mpya, mbinu mpya na miongozo mipya
 
Mkuu, mie nashangazwa na hizi hospitali za kidini. Ilianza Bugando na sasa KCMC kutangaza uhaba wa mitungi ya 'oxygen'. Sijasikia hospitali za serikali hata moja au pana maelekezo kuwa wagonjwa wa CoViD 19 wasitibiwe hospitali za serikali? Sipati picha na movi hii ya huu ugonjwa hapa nchini.
 
Ni kweli kuna jambo behind the scene
 
Ni kweli kuna jambo behind the scene
Najiuliza, kwa nini mambo yasiende kimyakimya tu kwa kuwasiliana na serikali kama kuna uhaba wa vitu hivyo? Wanarukia kwenye vyombo vya habari ili iwe nini?
 
Mbona mikusanyiko tushaizoea!. Kesho kuna game Simba na Yanga, Hice zinajaza abiria, Mabasi ya mwendokasi na kwenye Hospitali. JPM alishatupa ujasiri wa kuuzoea huu ugonjwa.

Kama ni mikusanyiko inayoingizia mapato Serekali tuendelee nayo tu hakuna namna.
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.

ddd.jpg

Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.

“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.

“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.

Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.

“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
Ameacha mzaha wake na sura lake baya alipokuwa akila maparachichi na mananasi yaliooza akidai ni dawa ya covid?
Apeleke sura lake baya kama anajiandaa kupiga chafya
 
Mbona mikusanyiko tushaizoea!. Kesho kuna game Simba na Yanga, Hice zinajaza abiria, Mabasi ya mwendokasi na kwenye Hospitali. JPM alishatupa ujasiri wa kuuzoea huu ugonjwa.

Kama ni mikusanyiko inayoingizia mapato Serekali tuendelee nayo tu hakuna namna.
Hilo serikali ya Uingereza imeliona na ndo maana wamejiachia.
 
Nakumbuka tena hii analogy kwA mara ya tatu jukwaani -
"The creatures outside looked from pig to man ,and from man to pig, and from pig to man again,but already it was impossible to say which was which"
 
Mbona mikusanyiko tushaizoea!. Kesho kuna game Simba na Yanga, Hice zinajaza abiria, Mabasi ya mwendokasi na kwenye Hospitali. JPM alishatupa ujasiri wa kuuzoea huu ugonjwa.

Kama ni mikusanyiko inayoingizia mapato Serekali tuendelee nayo tu hakuna namna.
Alileta ujuajj kitu kikapita naye
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.

ddd.jpg

Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.

“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.

“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.

Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.

“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
Mungu anakuona,ulimdanyanga JPM leo unaibuka na mengine
 
Mzaha aliuanza yeye alipokuwa ananadi malimao.
Somo lake limeingia vichwani vya raia halafu anaanza kulalamika...huyu alitakiwa atubu🤣🐒👇

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom