mwita waitara

Mwita Mwikwabe Waitara (born 17 July 1976) is a Tanzanian politician and a member of the CCM political party. He was elected MP representing Ukonga in 2015.He left his political party CHADEMA and join CCM from 28 July 2018. On 10 November 2018 he was appointed as Deputy Minister of State by President John Magufuli. On 13 November 2018 he was officially sworn in as Deputy Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. R

    PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
  3. DuaZaMama

    GE2025 Mwita Waitara achukua fomu ya ubunge jimbo la Tarime Vijijini kupitia CCM

    Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara, Mwita Waitara leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge kwa mara nyingine katika jimbo hilo. Amesema anaamini ataungwa mkono na wananchi wa jimbo lake kutokana na namna alivyowatumikia
  4. M

    Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

    Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili. Miongoni mwa tuhuma hizo ni; 1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
  5. M

    Mwita Waitara ayatimba, yeye na wenzake watakiwa kumlipa Eliakim Chacha Maswi Tsh bilioni sita kwa kumdhalilisha

    Mwita Waitara(kushoto) akiwa na Eliakim Maswi Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakim Chacha Maswi alifungua kesi dhidi ya Waitara baada ya Waitara kumdharirisha kuwa wakati alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Manunuzi PPRA alikuwa pale kwa ajili ya kuiba. Ndugu Maswi alimpa...
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwita Waitara: ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini, Kamati ya siasa ya Tarime

    "Ukitaka kufanya siasa safi hapa Mkoa wa Mara lazima tuambiane ukweli na kama ni jipu tulitoboe, tulikamue, tutoe kiini na mimi ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini, ningefuta Kamati ya siasa ya Tarime. Haki ya Mungu ningefuta. Its very Unfair. Hata kama hawamtaki Mbunge...
  7. Waufukweni

    Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni

    Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi kuonesha uwajibikaji kwa vitendo. Waitara amehoji suala hilo leo Mei 20, 2025 kwa Waziri wa Katiba...
  8. Waufukweni

    Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  9. Just Pray

    PreGE2025 Mwita Waitara aliyewahi kububujikwa na machozi bungeni asema Ushindi upo, CCM imepata kibali kutoka kwa Mungu

    Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Waitara: Vijana wanaotafuta ajira wajue ajira zinatengenezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Waitara: Yule bwana mdogo ni mbinafsi. Amshutumu Fatma Karume kwa "Utapeli wa Kisiasa" Kesi ya Nyamongo

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kujiunga na CCM, ameibua tuhuma nzito dhidi ya wakili maarufu Fatma Karume, akimtuhumu kwa kushiriki kile alichokiita "utapeli wa kisiasa" unaohusiana na mzozo wa wachimbaji wa Nyamongo. Akizungumza...
  12. Chachu Ombara

    PreGE2025 Mwita Waitara: John Heche ni mwanafunzi wangu kisiasa, hawezi nitisha uchaguzi Tarime

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge Jimboni humo kwasababu ana historia ya kumshinda kwenye chaguzi tangu wakiwa wote ndani ya chama...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwita Waitara: Kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa CCM Jimboni kwangu ili ni sishinde Ubunge

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  14. W

    PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  15. mwanamwana

    PreGE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  16. chiembe

    PreGE2025 Steven Byabato, anza sasa kupokea simu za wapiga kura wako, maana uliwasusa ulipopata uwaziri. Waitara, jiandae kwa kimbunga

    Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na uchaguzi umekaribia. Bila shaka wapiga kura watampokea na kauli ya UbayaUbwela. Huku kuna Chief...
  17. K

    PreGE2025 Ninachokiona kwenye jimbo la Tarime vijijini, Mwita Waitara anza kufunga virago

    Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago. Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
  18. N

    PreGE2025 Tarime: Chanzo cha Mbunge Waitara kufurushwa Sirari

    Habari wakuu! Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi alikuwa ni Sirari au kata ya Sirari. Siku hiyo wakati wanarudi kwao, gari waliyokuwa wamepanda mshindi...
  19. Erythrocyte

    PreGE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari. Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia)...
  20. Hismastersvoice

    PreGE2025 Mbunge Waitara: Tutapitisha miswada yote kwa kutumia wingi wetu

    Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi! Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi...
Back
Top Bottom