LEO MWISHO
“ Hivi Jacob lini utaelewa Kwamba maisha sio kitu cha mchezo, leo mimi nipo kesho na keshokutwa nitakufa , hivi utakuwa mgeni wa nani?”
kama kawaida Martin alirudia wimbo ule ule kwa Jacob ambaye ndo mtoto wake wa kiume na wa pekee.Martin alijaaliwa kupata mtoto mmoja tu ambaye...