mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

    Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko Nambari 1 Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kete ya mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024

    Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ulinzi shirikishi mwisho muda gani? Mbona bado tunashambuliwa na vishandu?

    Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu. Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo Nashuka niko njia ya rafu nikakuta wanafunzi wa Lugalo nikawambia twende maeneo ya shule niwaombee lift magari yanayokwenda kubeba...
  4. JamiiForums Tanzania Wosia wangu wa mwisho

    Wapendwa, Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
  6. JamiiForums Tanzania Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  7. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  8. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal) • Condition: Good • Plot Size: 5mx50m • Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano) • Price: TZS 1.5 billion . ✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6 ✓ yanapakana na barabara ya lami ✓ yote yana wapangaji ✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

    Salaam, Shalom!! Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana. Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Bodi Sukari atoa kauli mbili tofauti kwenye jambo moja ishara ya kuna kitu kimejificha nyuma

    MSIKILIZE MKURUGENZI WA BODI YA SUKARI ALAFU MSIKILIZE ALIVYOZUNGUMZA JANA NA PRESS LINGANISHANISHA TAKWIMU ANAZOSEMA HAPA NA ALIZOSEMA JANA KWENYE PRESS ALAFU LINGANISHA UTAJUA KUNA JAMBO KUBWA WAZIRI BASHE AMESHIRIKI https://youtu.be/uqbC1KQbjXs?si=_yKV29vyhcKNCOhF
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kariakoo wasipeleke maumivu kwa mtumiaji wa mwisho(mlaji)?

    Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo. Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia ni mnunuaji wa mwisho yeye ndie anapaswa kulia na hata kuingia Barabarani. Sasa hii ya Kariakoo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Dua ya Kura Tatu Mnyanyani Dua ya Mwisho Iliyoleta Uhuru wa Tanganyika

    Jumla ya dua ambazo TANU ilisoma kuomba msaada wa Allah ni tano. Kila dua ilikuwa na sababu na chanzo chake. Dua nne zilikuwa kuwaombea watu makhsusi wasiangamizwe na njama na hila za Waingereza: Dua ya Ali Rashid Meli, Dua ya Abdulwahid Kleist Sykes na Dua mbili za kumuombea Julius Kambarage...
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini binadamu wanapenda sana dunia na mambo yake, ingawa wanajua kwamba mwisho wa yote watakufa na kuacha kila kitu

    Asili ya Kibinadamu: Binadamu wana asili ya kupenda maisha na kutafuta furaha na raha. Kutafuta mali, hadhi, na mafanikio ni sehemu ya asili hii. Kwa njia hii, wanajenga maisha yenye maana na kuridhika. Hofu ya Kifo: Kwa kuwa kifo ni kitu kisichojulikana na chenye kutia hofu, watu wengi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli sabato inaashiria mwisho ya uumbaji za zamani, jumapili siyo sabato bali ni ishara ya mwanzo ya uumbaji mpya!

    Tumsifu Yesu Kristo Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo Kwamba Yesu Kristo...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

    Ni lazima imekuwa hivyo. ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza. In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in...
  18. JamiiForums Tanzania Ukuu wa Dollar ya Marekani umefika mwisho?

    Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta. Biashara yenye pesa nyingi zaidi duniani. Mwaka 1974 Marekani na Saudi Arabia(Akiwa mzalishaji...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni evolution au mwisho wa dunia?

    Lastweek nilikua na mgeni wangu kutoka South Africa, tulikua kwenye spot moja maarufu tu hapa dar. Tulipokua pale walikuja vijana watano, wawili wakike na watatu walikua wakiume lkn wanaonekana kabisa ni mashoga. Kwa kuwa tulikua tumerelax tu tunabadili mawazo yule msouth akaniuliza "Does...
  20. JamiiForums Tanzania Farhan: Siku ya mwisho career ya Fei itakua judged kwa vikombe na Tuzo Binafsi

    Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu. Farhan kasema nilichosema kwenye uzi wangu niliondika hapa leo Pia soma - Mchezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…