Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
Wakuu ,,,hivi mwisho wa mtu KUUMIZWA na MAPENZI ni miaka MINGAPI?.. Mimi sasa naona nimezidisha over 30yrs na bado nasagishwa rumba napelekwa mpera mpera!....
Leo ni tarehe 5 unatakiwa ku file taxes zako kabla ya Saa 6 usiku.
And by the way Nina E-book yangu inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania"
Ni FREE e-Book, nitumie meseji WhatsApp kupitia namba 0678131068 nikutumie
Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi
Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi...
Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana.
Lissu be smart, husifungue kesi kupinga kanuni za kulinda mashahidi, waache walete mashahidi wa Siri, wakimaliza kubwabwaja husiwaulize...
Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao.
Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo.
Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu.
“Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
Unajua kinachoangusha mti uliokuwa unakatwa sio lile pigo la mwisho.. Japo hilo ndio huonekana kama ndio limemaliza kazi
Nyuma yake kabla kuna mengi yalishapiga mengine on target na mengine off target.. Lakini kila moja lilileta madhara yake kwa namna yake!
Kwa ukubwa wake na kwa udogo wake...
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.
Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.
Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia.
Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa.
Niseme tu...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
GT
Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote.
Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu.
Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara.
Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi.
Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka...
Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika.
Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima.
Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya kama Taifa halafu bado anaongea lugha nyepesi ambayo watawala wanapuuza. Kwa muda huu tunahitaji zaidi...
Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa ina manisha nini kwa wasomi wa alama za siri....
Haya mwingine ana endelea ila wengine wana drop on...