Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari.
Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa
Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti?
Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote?
Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo!
Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui,
Kwanza kusema atatambuliwa...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima
Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho
Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu
Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba:
"Ninaamini katika kuja kwa Masihi!"
Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na kuwapokonya silaha zao
Rais wa Israeli Isaac Herzog: naye leo hii kasema;
Ran Gvili, shujaa wetu...
Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni.
Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
Salaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky.
Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.
Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa.
Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo.
Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.