mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  2. Hivi aliyemteua Mwigulu alichunguza changamoto,Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa

    Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho. Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa. Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano. Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo. Anaongea sana kuliko bosi wake. Anaongea kama...
  3. PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Watendaji na Watumishi wa umma acheni tabia ya kuzoea matatizo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi. Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
  4. Mwigulu atoa Siku 7 kwa TANROADS, TARURA Lindi, ataka watengeneze kwa haraka daraja la dharura lililoanza kutitia

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea. Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
  5. C

    Siku 100 zinakaribia huku Drs Nchimbi na Mwigulu wanapaa sio poa

    Dr Nchimbi mpaka Leo ameshaenda Uganda X 2, Angola, Congo DR, Zambia, Kenya) Vs Dr Mwigulu (Dar, Arusha, Mwanza, Lindi, Ruvuma, Singida, Songwe na Dodoma). Siku 100 zinakatika punde with zero tangibles, blah blah Tu.
  6. PM Mwigulu, karibu Rombo marathon

    Karibu Rombo ukweni Jumanne, tarehe 23/12. Wachaga hatunaga shughuli ndogo
  7. Mwigulu ajifunze toka kwa Dotto Biteko, Bashungwa na Tulia Akson

    Watajwa hapo juu walitumiwa na kubwagwa baada ya kutumika. Naona, hata huyu Mwigulu ataishia huko huko muda si mrefu. Najiwazia tu.
  8. Mwigulu anaongea kama mtendaji wa kata hii Uranium ndo ya kugombaniwa na Marekani

    By Malisa: Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao haimezewi mate. Sasa fanya kuswipe uone uranium inayomezewa mate na mabeberu Tanzania ni ya nafasi za...
  9. Mwigulu: Fedha si za serikali ni za wananchi

    "Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa...
  10. Mwigulu: Muwe na adabu mnapoiandika nchi iliyo huru. Mimi nitaendelea kusema hata wakereke

    "Na mimi hii nitaendelea kusema hata wakereke ndio Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake, rasilimali za Tanzania ni za Watanzania na Mheshimwa Rais alitoa maelekezo anayetaka aje tushirikiane. Kama tuna rasilimali zetu lazima tuzilinde kwa wivu. Hata kama watu wanaungana kutunandika...
  11. W

    Jakaya Kikwete: Dkt. Mwigulu umeanza vizuri, kanyaga twende, UDSM tumefurahi na kufarijika

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho. Dkt...
  12. Samia kafungua nchi kiuchumi badala ya kuchangamka mmeamua kumsikiliza Mange

    Nchi hii Rais Kikwete aliweza kufungua uchumi uende kwa wananchi, ndipo Watanzania wakafungua makampuni kwa wingi, watu walijenga mpaka maghorofa, biashara zilianzishwa, nyumba za kisasa Tanzania zikajengwa. Magari nayo yakaingia kwa wingi. Watu wakaanza kuishi kama watu. Akaja jamaa mmoja...
  13. Q

    Mwigulu anasema hawafiki elfu 10, atuambie anaowajua ni wangapi

    Eti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10. Yeye alijuaje vituo vya mafuta 672 na pikipiki 2,268 vilichomwa moto, alikuwepo? Kama hawataki hata ndugu zao wawazike...
  14. Kuna muda natamani kuuliza kuwa kwanini Mwigulu anajibu hoja dhaifu (sana) jukwaani ila naogopa naweza kutekwa

    “Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......” Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
  15. Mwigulu hauziki na hatoshi kwenye uwaziri mkuu, ila aliteuiwa kwa sababu zifuatazo

    1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
  16. A

    Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
  17. Mwananchi: Mwigulu tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Kama wanakufa njaa waajiri kwenye mabasi yako wawe wanapiga show

    Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
  18. Ndugu Mwigulu wasanii wafanye kazi na 98% ya waliomchagua Samia

    Ndugu Mwigulu Samia alipata kura million 32 Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi. Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu 32milon Mining'ono yanini? Kuna shida gani ? Ndugu Mwigulu Mchezaji anayecheza Manchester United...
  19. H

    Dkt. Mwigulu: Fanyeni mapitio ya tamko la mali na madeni, ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

    DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI ▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa...
  20. Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

    Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…