mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini. Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Mwigulu; leo yupo Arusha kukagua “uharibifu”

    Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali. Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike. Pili, tumwone pia...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu na 'PhD' yake, kama kweli anayo, anajua ICC?

    Naona kama bwana Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba anaitwa ICC soon. Sijui kasomea nini lini na wapi hadi awe zoba na zwazwa hivi? Hivi, kwanini haoni kuwa amemua kujitupa kwenye tanuri alilokoka Samuya na Kikwkwekwe? Msaidieni jamani wenzake mliomo humu. Niwasilishe.
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba afahamishwe kwamba kukiuka sheria za barabara ni dalili ya maovu makubwa tunayofahamu ndani ya serikali

    Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa. Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba anasimamia haki. Alichokisema juu ya tabia ya viongozi wakiwa barabarani, tulishajadili hapa JF. Kwamba...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dk Mwigulu ana kibarua kigumu kufunika uovu wa Oktoba 29, 2025

    Baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Dk Mwigulu Nchemba ana kibarua kigumu kuisafisha Serikali na uvunjifu wa haki za binadamu uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama kwenye maandamano yaliyofanyika siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Novemba 24 Dk Mwigulu alifanya ziara...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu punguza press, be professional. Kila siku press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

    Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini? Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa. Move on!
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwigulu: Acha Ufyatu - Kuharibu Muharibu Nyie, Kuwalaumu Muwalaumu Wale!

    https://youtu.be/SqkZTbIqJ4kBado sijazungumza ninavyotaka kuzungumza kweli; bado natafuta maneno sahihi. Lakini itoshe kusema kuwa walioshinda kwa kushindwa wanataka bado kushindanisha kushindwa! Yaani, wamevuruga wao, wao wametengeneza mazingira ya uharibifu, wao wameruhusu mauaji, wao...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwigulu, zinaudhi, zinakera na kuleta simanzi kubwa, kwa sababu anawafanya watu hawana akili

    Kwa kweli hotuba za Mwigulu zinadhihirisha huyu mtu alivyo mwongo na mnafiki mkubwa. Halafu anaamini watu hawana akili. Watanganyika wanawajua wote wanaowateka na kuwaua Watanganyika; wanawajua wanaotengeneza tume za kihayawani kusimamia uchaguzi bandia, halafu wanaziita tume huru za uchaguzi...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu madai ya Polisi kupewa amri ya kuua raia: Mwigulu ahoji Polisi wengi pia walikufa, nani alitoa amri wauawe?

    Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani! Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Mnataka tuseme idadi ya waliokufa kwani tunafanya sherehe ya vifo?

    Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?🤣🤣 Mwigulu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Tutatumia jitihada, nguvu zote na gharama yoyote kulinda rasilimali za Tanzania

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile ili kulinda nchi na raslimali za Tanzania "Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

    Leo ni leo Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  18. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  19. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

    When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi? Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini...
Back
Top Bottom