Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais.
Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
Serikali nzima haitakiwi, Samia na Mwigulu ndiyo kabisaaa, hawatakiwi na watanzania.
Maandamano ya 29.10 yalichochewa na mambo mawili: kuzuia uchaguzi na kuukataa uteuzi wa Samia kama mgombea urais wa Tanzania
Katika maandamano hayo mabasi ya Ester yanayodhaniwa kuwa ni mali ya Mwigulu Nchemba...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza sababu ya kushindwa kuweka picha ya Dkt. Samia Suluhu Hassan katika fedha aina ya Noti Kwa sababu Dkt. Samia hapendi sifa yeye anataka kazi ndio ionekane na sio picha yake katika fedha...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
Mgombea Ubunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za uongo mtandaoni kwamba serikali imechapisha fedha kwa ajili ya kufadhili shughuli za Uchaguzi Mkuu ujao.
Amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki).
Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika:
"Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Octoba 29" akiwa ameambatanisha na video inayomuonyesha akisalimiana na wananchi
Katika kipande hiki cha video, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anaonekana akijigamba huku akimnadi mgombea udiwani wa jimboni kwake kwa kuwataka wananchi wamchague sababu ameshikana mkono na mtia Saini noti za taifa.
Anaenda mbali nakuwauliza wananchi wake "kama walishawahi kushikana mikono na...
Mwigulu Nchemba ni msomi unampa wakati mgumu Mama Samia kutekeleza miradi ya barabara.
Kwasababu mfuko wa road fund ambao Magufuli aliuanzisha kwasababu ya barabara pesa zote zinazotokana na kodi ya mafuta ya vyombo vyote vya moto ziende kwenye mfuko road fund kwasababu ya barabara.
Wewe...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji.
Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuwa Mbunge kwa awamu nyingine ataongeza na kuboresha miundombinu ya Elimu, Afya, Barabara pamoja na Maji ili wananchi Wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida...
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima, uzalendo, na uhamasishaji wa uwajibikaji wa raia. Wazo lake la kuweka mabango yanayoeleza kuwa miradi imejengwa "kwa hisani ya walipa kodi wa Tanzania" lina mantiki nzuri kwa...
Dkt. Mwigulu Nchemba: Makusanyo ya Kodi Yameongezeka kwa Asilimia 103 Baada ya Serikali ya Awamu ya Sita Kuingia Madarakani
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kuna ongezeko kubwa la makusanyo ya kodi mara tu baada ya Serikali ya Awamu ya Sita kuingia madarakani ambapo kwa...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
wakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Tayari ameshamwandaa Mwenyekiti wa Halmasharu ya Iramba Repeater Mwenzake wa Shule (wote walirudia shule zaidi ya mara tatu) Ndugu Innocent Msengi ambaye pia aliwahi kuitwa Masanganya Zengo au jina lingine Mande Kapendo kuwania nafasi ya ubunge mwaka 2030. Wote ambao wameonesha dalili au kusemwa...
Wakuu
Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)
Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
"Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...