Kwa mara ya kwanza tuna waziri mkuu Chawa na serikali fake! Mwigulu ndiye waziri mkuu ambaye kazi yake kubwa sio uendeshaji bali ni uchawa uongo uongo na kujipendekeza.
Majaliwa alijitahidi sana kuwa kiongozi ambaye anajiepusha na utekaji, uongo, lakini alishidwa naye lakini hakuwa chawa!