mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  2. JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  3. JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi umewahi jiuliza ni kwanini hatupati kupatwa kwa Jua / mwezi kila mwezi /mwaka licha ya kuwa na mzunguko wa dunia / mwezi unaojirudia rudia?

    Picha: Kupatwa kwa mwezi Picha: Kupatwa kwa jua ===================== Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa kawaida Hii husababishwa na kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia hivyo kukinga baadhi ya...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara huu ungekuwa wewe ungebaki na shilingi ngapi kila mwezi?

    Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu. Mkoa Mwanza
  7. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
  8. JamiiForums Tanzania Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

    Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja. Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata. Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa bajeti kwa mtu anelipwa 150k kwa mwezi

    Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana Juma Mgunda akikosa tuzo ya mwezi

    Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
  11. JamiiForums Tanzania Chombo cha “Chang’e” cha China chafunga safari tena kuchunguza sayari ya mwezi

    Chombo cha anga za juu cha China, Chang'e No. 6 hivi karibuni kimefanikiwa kurushwa kutoka Kituo cha Anga ya Juu cha Wenchang nchini China kwa kutumia roketi ya Changzheng No. 5. Chombo hicho kitapelekwa katika sehemu ya nyuma ya sayari ya Mwezi, na kufanya utafiti mbalimbali, ikiwemo kuchora...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nchi ambayo 60% ya waajiriwa wanalipwa chini ya laki 5 kwa mwezi haya ndiyo matokeo

    ========= Africa is buzzing with lively economies, all thanks to the hard graft of its people. The continent has even been dubbed the world's future workplace due to its ballooning young population. However, beneath the surface of economic growth lies a huge challenge, stress in the workforce...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  14. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  15. JamiiForums Tanzania Mwezi huashiria nini?Tanzania tumekosa kutafuta msamiati wa mwezi ili kutofautisha?

    Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku. Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12. Wazungu wametumia neno msamiati MOON kumaanisha nishati,vile vile wametumia neno MONTH ikimaanisha idadi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

    Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa. Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
  17. JamiiForums Tanzania Natumia Tsh 11,000 tu kwa mwezi kwa matumizi ya Mawasiliano ya simu.

    Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu? mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅 Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO: Unit 75 kwa mwezi ni chache sana kwa maisha ya sasa ya technolojia

    TANESCO wanatakiwa kwenda na wakati unit 75 kwa mwezi kwa maisha ya sasa ni chache sana maana kwa sasa vitu basic vya umeme majumbani ni vingi mambo yamesha badilika na nyie mbadilike Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe. ======================== Otherwise mtumie baiskeli
  20. JamiiForums Tanzania Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

    Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…