mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
  3. JamiiForums Tanzania Ndio umeingia Marangu mwezi huu halafu hauna pesa, hivi ndivyo utakavyokuwa unaonwa

  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  5. JamiiForums Tanzania Pendekeza bei ya petrol n diesel Kwa mwezi January

    Nchi hii ni yetu sote. Lakin vile vile serikali itambue Dunia sasa ni Kijiji sababu ya utandawazi. Hapo kabla tuliambiwa Sana kuhusu kushika thamani Kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani kunavyopandisha bei za Mafuta. Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,, Shilingi yetu inapanda thamani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni hapa, nikimaanisha nimejiunga na JF mwezi uliopita

    Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa. Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo ndogo, uwakilishi wa nyumba kumi kumi nadhani hii ni kama mabalozi, uongozi wa mitaa, kata au...
  7. JamiiForums Tanzania Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.🤣👇
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

    Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo. WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Kuombana hela mwezi huu imekaa kikuda sanaa🤔🤔😂😂😁

    Kuombana hela mwezi huu imekaa kikuda sanaa🤔🤔😂😂😁
  12. JamiiForums Tanzania Dar Es salaam: CG Mwenda , Desemba ni mwezi wa kuwashukuru walipakodi na kuwasikiliza

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi huuu wa Disemba ni mwezi wa kuwashukuru na kuwasikiliza walipakodi wote nchini. hayo yamebainishwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 11/12/2024 ofisini kwake jijini Dar es Salaam alipokutana na Umoja wa Mabenki...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  14. JamiiForums Tanzania Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

    Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba? Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3, Azam 1 Kagera Sugar 0 Azam 2 Singida Big Star 1 Yanga 0 Azam 1. Mechi za Simba Pamba 0 Simba 1 Simba 4 KMC 0 Mashujaa 0 Simba 1 Azam mechi 3...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Vikundi havijapata mkopo wa Halmashauri wa 10% mpaka sasa, hatujui sababu ni nini

    Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mshahara ungetolewa kila wiki. Kutolewa kila baada ya mwezi kunadumaza uchumi

    Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi. Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha hadi za vifaa vya ujenzi huchanganya mwisho wa mwezi kisha zinadumaa kwa karibu mwezi mzima. Hii...
  17. JamiiForums Tanzania Holiday season imewadia, wazee wa safari ndefu huu ndiyo mwezi wetu wa kumwaga moto

    Wakuu.. Katika kipindi hiki cha mwezi December watanzania wengi wanakuwa katika hekaheka za kusafiri sehemu tofauti wakifurahia maisha baada ya miezi 11 ya purukushani za kutafuta riziki. Wewe mwana-jamiiforum umejiandaaje na safari za mwisho wa mwaka? Mimi nilijiandaa Toka mwezi January...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu nina uhitaji mkubwa sana wa kazi angalau 300K tu kwa mwezi

    Habari zenu wakuu. Nipo katika nyakati ambazo hazielezeki wala kusimulika , nimekuwa nafatilia kazi huu mwezi sasa wa tatu. Mpaka nikasema ngoja nijaribu kutembelea na JF the home of great thinkers kuona Kama kuna MTU atakuwa na opportunity anipatie ili niwe busy and productive. Sifa zangu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya

    Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya. Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa, kupata, kuinuka Bwana hakika sisi na wanadamu ndani mwetu hatuishiwa mahitaji Bwana. Tunazo ndoto za...
  20. JamiiForums Tanzania Mwezi July 2024 huyu Mwanayanga alimwonya Prince Dube na Aziz Ki. Wakakaidi

    Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi. Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo. Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…