mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  2. GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  3. GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  4. CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  5. ZANU PF walimdhibiti Mwenyekiti wao Mugabe dakika za jioniiii. Je CCM wataweza?

    Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine. Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi. CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka...
  6. Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  7. Inadaiwa mwenyekiti BAVICHA Geita hajulikani alipo

    Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
  8. Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  9. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  10. W

    Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  11. R

    Mahakama ya Korea Kusini imefuta rasmi Mashtaka yaliyokua yanamkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Samsung, Jay Y. Lee

    Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
  12. Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  13. PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  14. Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
  15. Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  16. Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  17. PreGE2025 O kwenye bango la kuhamasisha kumchagua Samia inamaanisha hamna kitu (0)? CCM msimdhalilishe Mwenyekiti wenu!

    Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025 wenye kila dalili kuwa watanzania wenye akili timamu hawatashiriki...
  18. Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM. Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki. Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
  19. Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  20. PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

    Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi. "Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…