mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  2. T

    Mtazamo wangu: Chongolo na Shaka wameonesha kushindwa kabla ya pambano, tunakusihi na kukuomba Mwenyekiti wa CCM uwaondoe

    Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
  3. C

    Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

    Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake: * Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
  4. Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

    Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa. Amenihakikishia kuwa trials za...
  5. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

    Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
  6. Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili. Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
  7. Mwenyekiti wa BAWACHA Temeke ashikiliwa siku 4 bila kuelezwa kosa

    Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake. Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.
  8. TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  9. M

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  10. S

    CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  11. W

    Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Ndugu zangu, Siku zinaenda kasi sana === VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA. Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake...
  12. Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  13. Haji Vs Barbara: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu atoa tamko

    Habari za wakati huu! Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua mgogoro uliojitokeza. Simba ni timu inayojipambanua kuendeshwa kiweledi hivyo tusimame katika misingi...
  14. M

    Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe: CHADEMA Isikubali kuonewa

    Ndugu Freeman! Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
  15. N

    Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini anayekabiliwa na kesi ya mauaji aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Simon K pamoja na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya mauaji namba PI RM (MURDER) CASE NO. 4/2021 wameachiwa kwa dhamana hapo jana mjini Musoma. Jambo ambalo limewashangaza watu wengi kwani inajulikana wazi kuwa kesi hiyo haina dhamana. Hata hivyo mke...
  16. UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa Mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe...
  17. Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

    Hii inaingia akilini kweli? Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
  18. Dkt. Anthony Diallo avunja ukimya, afunguka kuhusu Legacy. Atoa tahadhari katika kuchagua, akoroga katika Katiba Mpya

    Anthony Diallo, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika mahojiano yake na Aloyce Nyanda wa Star TV amefunguka haya kuhusu awamu iliyopita na mabadiliko ya utawala yaliyotokea 1. Furaha imeanza kurejea mioyoni mwa raia wengi. 2. Nchi imepata historia ya kupitia katika kiza kifupi "black spot"...
  19. S

    Haiwezekani Vyama vya Upinzani vikabadili Mwenyekiti wa Chama - hilo kwa sasa lisahauni

    CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi? Sasa kuna watu wanapiga makelele eti Vyama vya Upinzani wenyeviti wao ni Wafalme kwa hilo ndugu zangu wa CCM mliopoteza muelekeo...
  20. J

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani? Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea? Nawasalimu kwa jina la JMT! ========= KWA UFUPI Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…