mwenyekiti wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

    Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan Wakasuvi kilichotokea Leo tarehe 22 Februari, 2024 Mkoani Tabora. Chama Cha Mapinduzi kitamkumbuka...
  2. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mbeya kasema kweli. Mpuuzeni na mtaikosa Mbeya

    Majuzi katika ziara ya Makamu wa Rais Phillipo Mpango huko Mbeya, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya aliorodhesha miradi mingi ambayo serikali iliahidi lakini haijatekelezwa kwa miaka mingi. Kuna miradi iliahidiwa na Rais Mwinyi na Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za urais, lakini utekelezaji ni...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa. Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, hotuba ya Mwenyekiti wa CCM 08/03/23 italenga kujenga nchi au kujiimarisha kisiasa?

    Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Nape Nnauye kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Rais wa nchi anayetokana na CCM kuwa mwenyekiti wa CCM Taifa ni utamaduni tu ndani ya CCM na wala si takwa la kikatiba la chama hicho. Kwa sasa Mwenyekiti wa CCM ni Samia Suluhu Hassan kutokana na mwana CCM huyo kuwa Rais wa Tanzania. Lakini kabla ya kuwa Rais, Samia alikuwa ni mjumbe tu wa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa CCM Dar ni Mtemvu, wale jamaa wataficha wapi sura zao? Nasikia kapata kura 444 Abbas Mtemvu ndo mwenyekiti Mpya wa CCM wa Dar Es Salaam
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

    Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

    MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, tarehe 31 Machi 2022 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa White House.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM anakwenda kuamua tena nani agombee ubunge kama alivyofanya Hayati Magufuli kipindi kilichopita. Ukimkosoa Mwenyekiti umeumia

    Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uspika wa Job Ndugai umeshikiliwa na Mwenyekiti wa CCM; akimfuta uanachama kiti kinabaki wazi

    Wakuu, Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, speaker wa bunge la muungano anaweza kukoma kuwa speaker ikiwa kama alichaguliwa kuwa spika kutoka miongoni mwa wabunge wa kuchaguliwa na wananchi ambapo ubunge wake ukitenguliwa. Ndugai anaweza kusitishiwa na kufurushwa uanachama...
Back
Top Bottom