Ni dhahiri mwenyekiti wa Chama ukilazimisha kwa hali ilivyo hutatoboa kwenye uchaguzi ujao pamoja na kwamba wewe ndo kiongozi wa nchi.
Itakuwa ngumu wewe kujua maana hutakuwa na muda sababu utakuwa na stress za kampeni. Sababu kuu ni kwamba sasa adui yuko chumbani kwako siyo sebuleni tena...
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
Kumekucha wana JF?
Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.
Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake?
Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha...
Makosa makubwa sana kumpa samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini ?
Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi hakufuata katiba ya chama hicho inamaana wajumbe na mwenyekiti wame baka katiba ya chama, labda ni kwa vitisho vya...
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
Unajua..! Hapa lazima tukubaliane
Ndani ya CCM si wote ni wale wa ndiyo mzee, hata mambo yanapoharibika ni ndiyo mzee
Idadi ya wanaohoji mambo yanapoharibika inazidi kuongezeka ndani ya ccm
Mpaka July hapo, pataeleweka tu
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya.
Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
Swali la Kwanza
Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030.
Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
Wadau hamjamboni nyote?
Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
ccm
halmashauri
halmashauri kuu
kikao
kuu
mafanikio
makubwa
mwenyekitimwenyekitiwaccmmwenyekitiwaccm taifa
picha
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
taifa
Salaam Tanganyika!
Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja,
Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu.
Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day
📅 Tarehe: 22 Februari 2025
📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya.
Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki
Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.
Soma Pia:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.