mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru Watua Wilaya ya Mufindi Siku ya Mei Mosi

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru waridhia miradi yote Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao umekimbizwa, kutembelea, kukagua na kupitia miradi nane (8) ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya Tsh...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya warusha satellite angani

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kishindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Michango ya mwenge ni sawa na kutakatisha fedha

    Leo nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe kiongozi mmoja wa CCM akimkoromea mtendaji wa Kata kwanini hakusanyi michango ya mwenge. Hili jambo limemisikitisha sana kwa kweli. Unajua tangu zamani nilikuwa nasikia walimu wakilalamika kukatwa mishahara kuchangia mafuta ya mwenge nikadhanini...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

    Habari wakuu, Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua. Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenge Kijijini ina majonzi makubwa, wawili wafa ndani ya saa 24

    Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete. Issue iko hivi, washikaji wote wawili walikuwa wakiumwa, John Simba alikuwa mgonjwa zaidi, na Masu alikuwa akiumwa pia ila...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

    Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti Viongozi WA halmashauri wote...
  8. JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge Kijijini panapendelewa sana na serikali?

    Mtaa wa Mwenge umegawanyika katika mitaa miwili ndani ya kata ya Kijitonyama, wilaya ya Kinondoni . Mkoa wa Dar es Salaam. Kwenye kata ya Kijitonyama kuna mitaa miwili ya Mwenge. Mwenge Kijijini na Mwenge Nzasa. Lakini Mwenge Kijijini tangu mwaka 1974 kuna lami barabara zote, Mwenge Nzasa...
  10. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Mwenge, naota tu!

    Kivuko sintofahamu! Uwekezaji Mwenge! Mtaa huo unavituko, hata kinara wa zamani kujenga naye kawekeza hapo Kebbys. Lakini naota tu!
  11. JamiiForums Tanzania Matrafiki wa Mwenge ndio wanaosababisha foleni, bora waache taa ziongoze

    Kuna muda huwa sipendi kupita katika njia ya pale Mwenge kwenye Jiji letu la Dar es Salaam hasa majira ya jioni, maana wale trafiki wanaoongoza magari mitaa hiyo ni wazinguaji hasa. Kwa ufupi wao ndio wanaosababisha foleni iwe kubwa, bora wangeacha taa zifanye kazi, wanazingua sana. Ikifika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  14. JamiiForums Tanzania PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

    Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
  15. JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango imekufa?

    Naomba ufafanuzi kama Huduma ya mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango bado ipo Ahsante kwa ushirikiano
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya kumbukumbu ya Nyerere isifungamanishwe na siku ya Mwenge

    Ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na mamlaka ya serikali walione hili. Mimi najiuliza kwanini sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru zifungamanishwe na siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa tar 14 Oktoba? Mimi nashauri hizi siku zitenganishwe sababu sherehe ya mwenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…