mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. kimsboy

    JamiiForums Tanzania KERO Lugalo hadi Mwenge kuna foleni balaa

    Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi... Hii ya leo ni...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Mwenge

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kinyeji Simiyu Tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, Leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi waganga wa Tiba asili au waganga wa Kinyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima Kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena Kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO Waganga wa Kienyeji Simiyu tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  5. EricMan

    JamiiForums Tanzania KERO Nimekuja kutembea kijijini, nimeambiwa nichangie Tsh. 1,000 ya Mwenge, ni sawa?

    Nipo kijijini nimeenda kwa Mwenyekiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuwa natakiwa kutoa shilingi elfu moja ya mchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi? Mwenye ujuzi anijuze.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ni ndoto za alinacha kujenga Flyover Mwenge na Morocco

    Nimeona mtandsoni waziri Wa Ujenzi, Bw Ulega akijipigia sound at serikali itajenga Flyover Mwenge na Morocco. Kama mkazi wa Dar, nikikumbuka hizi sinkelele za kwanzankuzisikia. Zaidi ya miaka mitano iliyopita tulisikia kuwa kuna Flyover tano zitajengwa Dar. Flyover hizo ni Mwenge, Morocco...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchango wa Lazima wa Mwenge ni kero

    sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa. Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza...
  9. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania HOJA Mwenge wa Uhuru: Fahari ya Taifa au Gharama kwa Taifa?

    Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya. Tangu hapo, mwenge huo umekuwa ukizunguka nchi nzima kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo, kuimarisha umoja wa kitaifa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

    Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani? Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bilioni 1.82 watembelewa na Mwenge Ubungo, DAWASA yapewa kongole

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetakiwa kuhakikisha inakamilisha miradi ya maji kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na huduma hiyo muhimu bila ucheleweshaji. Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, ndugu Wazo Mwang’onda, wakati...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  13. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Mwenge TRA

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12.427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Mwenge

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Mwenge

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12.427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Miradi inayo zinduliwa na mwenge huwa haiendelei

    Natamani ifike nyakati mwenge baada ya kuizindua miradi mbalimbali, mwaka unaofuata upite tena kuangalia ile miradi kama bado ipo .
  17. serikalibora

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  18. Gibeath-Elohimu

    JamiiForums Tanzania Uchafuzi wa hewa Mwenge

    Habari wanajamvi watu makini Kabisa.Natumai sote tuko poa. Naomba kuwasilisha kero hii Kwa NEMC sijui ni mimi pekeyangu ndo napua kali ama vipi. Kwa siku kadhaa na tuseme Kwa miezi hata mwaka hapa maeneo ya Mwenge kuanzia ITV,stendi mpya,njia yote mpaka huu upande wa petrol station ya ORYX...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Huku Samia kule Mwenge, Barabara hazipitiki

    Leo Mbeya imesimama tokea asubuhi Kazi hazifanyiki. Mnasimamishwa masaa manne kupisha mwenge na haupiti. Mara upishane na Malori yanaenda kwa Samia kwenye mikutano yake. Mnasimamishwa masaa matatu. Mwenge sijui utaondoka lini Mikoani. Kipindi hiki Nashauri upelekwe Zanzibar ambapo hakuna...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nasikia mwenge ndio mzimu unaowafanya watanzania tusiwe na ummoja wakati za hatari

    Hapo vip! Hapa nina imani kuna kwa ukweli fulani hivi!! Hivi ni umuhimu wa kufukuzana na moto nchi nzima. Kuna wazee walinieleza yakwamba hili ni tambiko la hatari mno. Ndio maana mtu mjinga au mpumbavu mpumbavu anaweza kufanya jambo lolote akaangaliwa kwa uwogo na hofu kubwa.
Back
Top Bottom