mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa uhuru, Ruangwa 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika katika mbio hizo. Ziara hiyo imefanyika leo Mei 21, 2025, ambapo Ngoma ametembelea maeneo...
  3. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Mwenge wapita Mufindi, mradi wa REA wa bilioni 17 wazinduliwa

    📌Rais Samia aipongeza REA utekelezaji miradi ya umeme vijijini 📌Kiongozi wa Mwenge ahamasisha matumizi ya nishati safi na salama 📍Mufindi - Iringa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekelezaji wa mradi wa umeme...
  4. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mwenge bado unamulika wezi ,wala rushwa na mafisadi kama tulivyoaminishwa zamani?

    Habarini wakuu, Najiuliza kuwa hivi mwenge bado unamulika wezi,wahaini,wala rushwa na mafisadi kama tulivyoaminishwa zamani. Bado upepo haujakata masikioni juu ya tuhuma alizotoa CAG za ubadhilifu, hao wabadhilifu mwenge haukuwaona? Nimeshuhudia migambo na askari wanalazimisha watu wafunge...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ndio watakuwa wahusika namba moja kuzuwia uchaguzi 2025! Kwa nini...!

    Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo! Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
  8. mtokeibwima

    JamiiForums Tanzania Mbio za mwenge na matumizi ya watoto wa halaiki

    Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
  9. evangelical

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

    Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla. Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya maeneo yote ya kuondoa machinga wote waliopanga bidhaa chini na kuzuia biashara za wenye fremu

    Hili ni jambo la kushangaza unakuta unaenda kununua bidhaa dukani unakutana na machinga mbele ya duka la muuza duka. Machinga huyo amepanga bidhaa zake chini ya duka la muuza duka. Kuna baadhi ya mambo inabidi serikali itumie nguvu kuwapanga watu vizuri ili watu waende maeneo rasmi ya...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Bajaji yawaka moto mawasiliano, makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge

    AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Maandalizi uzinduzi wa mwenge 2025 yamekamilika, kuzinduliwa Aprili 2, Pwan

    Mbio za Mwenge 2025 zitahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025 yamekamilika, huku kauli mbiu ya...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru 2025 kuzinduliwa Mkoani Pwani

    Mkoa wa Pwani umeteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazozinduliwa Aprili 2, mwaka huu katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Pwani sherehe zitakazohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, mikoa jirani na wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na...
  15. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Morocco na Mwenge kujengwa barabara za Juu. RC Chalamila ataka kazi ifanyike Mchana na Usiku

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema. Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Natafuta picha za miaka 23 toka Mwenge ukimbizwe

    Sherehe zilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid Arusha mwaka 1987. Mgeni rasmi alikuwa Mwl. Nyerere baadhi ya picha ziliwekwa kwa muda pale kwenye jengo la Azimio la Arusha. Pia kuna watu wa BBC walikuwa wana rekodi FILM (sasa hii sina hakika inaweza patikana wapi) MSAADA...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
Back
Top Bottom