mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

    Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi jamani tabata Pana ishu gani MPAka pajengwe mwendokasi

    Hakuna viwanda Hakuna taasisi Hakuna vyuo Hakuna chochote Hakuna ubalozi Hakuna cha maana Hakuna mall kubwa Hakuna stand kubwa Sasa iweje pajengwe mwendokasi hizo fedha si heri zikafanye ishi nyingine..ila Sina uhakika kama KWELI Kuna huo mpango wa mradi ila nilimsikia Mad Max akisema...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa kipande cha Mwendokasi Karume (Dar) upo 'slow', unasababisha kero ya foleni

    Kwa zaidi ya miezi miwili eneo la Karume ambalo ni maarufu kwa wafanyabiashara wa mitumba kumekuwepo na changamoto ya foleni ambayo inatokana na ujenzi wa njia ya Mwendokasi. Mkandarasi ameziba njia upande mmoja kwa muda mrefu huku shughuli za ujenzi zikiwa zinafanyika taratibu (slow) jambo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi: Ukombozi uliogeuka mateso kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), ambao ulizinduliwa kwa mbwembwe na matumaini makubwa ya kupunguza...
  8. JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa Bangladesh

  9. JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa Mwendokasi?

    Wakuu Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART? Bila shaka wana nguvu kuliko serikali Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama. Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba madawa Pilipili mwendokasi

    Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu, Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa nilinunua 10gm nikaotesha kwenye kitalu japo nilichelewa kuziamisha lakini zilienda vizuri shida...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Serikali yasaini mikataba, Watoa huduma watatu kuendesha Mwendokasi

    Wizara ya TAMISEMI imesema kupitia ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi (PPP) imefanikisha hatua ya kihistoria ya kusaini mikataba na watoa huduma watatu wa uendeshaji wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka ambapo imesema mabasi hayo yatapunguza foleni za Dar es salaam na kuharakisha...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

    Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu. Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

    Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa banana mil 20 elewa neno banana yaani mwendokasi inajengwa

    Nyumba inauzwa mil 20 Banana Elewa neno banana yaani ni mjini kabisa kutoka airport hadi kwako dk 15 tu yani uko mjini Ina vyumba 3 vya kulala 1 master bedroom 2 Normal rooms Seble Dinning Choo cha wagen Kutoka lami hadi kwenye nyumba unatembea kwa mguu tu dakika 10 gari ni moja hadi mjini...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Serikali iamue moja; nauli ya Mwendokasi iwe Tsh. 700 kamili au 800

    Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya namna hii? Kama hawana uwezo wa kuwa na hizo chenji za Tshs 50 waondoe hiyo Tshs 50. Najiuliza...
  19. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…