Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe.
Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4.
Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
Nimefika Dar es salaam nikafanikiwa kupanda magari ya mwendokasi nikajiuliza viongozi wenye dhamana wameisha DSM? Mabasi yamechoka, yanajaza abiria hadi milango haifungi, yapo machache na hakuna msimamizi serious unayemwona mwenye lengo la kuyatunza yadumu.
Kwa namna mabasi haya yanavyoendeshwa...
Wakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama.
Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi...
Kuanzia Januari 16, 2023 Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi itakuwa Tsh. 750 kutoka 600, njia ya mlisho (Feeder Route) ni Tsh. 500, njia ya mlisho na njia kuu (Feeder & Truck Route) Tsh. 900 njia ya Kimara - Kibaha ni Tsh. 700 badala ya pendekezo la DART la Tsh. 1,200.
Teksi Mtandao za abiria Tsh...
Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala.
Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
Habari wana jukwaa,
Leo nimeshuhudia jambo la ajabu katika mwendokasi. Nikiwa natoka Kkoo mida ya mchana mwendokasi imejaa kuna jamaa mbele yangu alikuwa kasimama nyuma ya bi dada mmoja aliyevaa dela/kijola.
Kadri safari ilivyoenda jamaa naona anazidi kumbananisha mwanamke ila cha ajabu bi...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kimsingi eneo linalosemekana limeandaliwa kwa ajili ya stend ya mabasi ya mwendo kasi kwa maeneo ya gongolamboto, sidhani kama lipo mahali sahihi.
Wahusika waliangalie hili jambo kwa umakini kusiwe na upigaji wa kipekee kwa maana kule Pugu stesheni , stend...
Wakati mkandarasi mradi awamu ya tatu ya mabasi yaendayo haraka ’mwendokasi’ barabara ya Gongo la Mboto akiwa tayari ameanza kazi, miundombinu ya mradi huo inatarajiwa kufika hadi Chamazi.
Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 15,2022 jijini humo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo...
Nipo kwenye Abood Bus T 818 DXJ linalotoka Dar - Morogoro, dakika chache zilizopita tumenusurika ajali kugongana uso kwa uso na lorry karibu na Imperial Sec School Chalinze kisa ni dereva wa Abood kuwa kwenye mwendo mkali na kuovertake lorry lenye namba T662 DEM sehemu isiyoruhusu wakati mbele...
Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022.
Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023.
Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo.
Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
Kumetokea ajali inayohusisha basi la Mwendokasi na mtembea kwa miguu.
Ajali imetokea ahsubuhi hii kwenye barabara ya Mwendokasi mbele ya Hoteli ya Kempiski Hyatt
Zamani Kilimanjaro Hotel.
Basi la Mwendokasi likitokea Posta ya Zamani, dereva wake hakujali kivuko cha watembea kwa miguu alimgonga...
Leo asubuhi wakati nimepanda mwendokasi kuna mwamba mmoja nimekutana naye siyo mara ya kwanza mimi kumkuta kwenye gari, nadhani kama sijakosa itakuwa mara ya pili au tatu.
Sasa huyu mwamba alikuwa akipiga stori na mtu aliyekuwa amesimama naye karibu, nadhani wanafahamiana, sasa huyo jamaa...
Kukamilika kwa mradi wa wa BRT, Usafiri wa Haraka wa Mabasi Nairobi kunacheleshwa na kutosekana kwa ufhadhili.
Mfumo wa BRT ulitazamiwa kutoa suluhisho la kudumu la msongamano wa magari katika jiji na viunga vyake, ahadi ya njia salama, bora na ya bei nafuu ya usafiri wa umma ambayo bado...
Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta,
Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi.
Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.