mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Miundombinu ya mabasi ya Mwendokasi Awamu ya Nne - Dar unaendelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Kubali au ukatae Magufuli angekuwepo mwendokasi mbagala ungekuwa imeshaanza

    Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi R.I.P Jembe langu
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  6. JamiiForums Tanzania Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao. Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunalalamika kuhusu parking wewe unalalamika kuhusu mwendokasi

    maisha ni kuchagua.
  8. JamiiForums Tanzania KERO Bodaboda ni kero kubwa na chanzo cha ajali kwenye Zebra ya Msimbazi Kariakoo ambazo zimefutika

    Mamlaka za Jiji kwa kushirikiana na Kitengo cha Usalama Barabarani (Polisi) waangalie kwa jicho la tatu namna Bodaboda wanavyotumia vibaya kipande cha Mwendokasi eneo la Msimbazi la Kariakoo, Dar es Salaam. Bodaboda wamekuwa kero kubwa na kusababisha ajali za mara kwa mara kwenye njia hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyoletwa na DART

    Inadaiwa Mwendokasi mpya zimefika leo kwenye roro. Je, zitadumu?
  10. R

    JamiiForums Tanzania BUS LA MWENDOKASI LAPATA AJALI

    Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
  11. JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

    Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Serikali Haiwezi Kuendesha SGR Kwa Watanzania Tuliopo. Tujifunze Kutoka Kwenye Mwendokasi

    Mbona barabarani kuna makampuni kibao, Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi. Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
  13. JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kituko na aibu kwa nchi dhidi ya wageni!

    Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
  14. JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujenga Utajiri wa Mwendokasi

    Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka. Kitu kimoja ambacho watu wengi huwa hawakijui ni kwamba kila mtu anaweza kuwa tajiri. Ndiyo, namaanisha kila mtu kabisa, ikiwepo...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

    Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko. Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…