Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji.
Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya...
TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA)
Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa.
Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
Hii picha inatupa funzo usidharau maamuzi ya mtu wala usimlaumu badala yake wewe bariki tu maamuzi yeyote anayetaka kuchukua mtu 🤣
Yule jamaa yetu wa hisa za milion 60 nadhani saivi anaitafuta 300M
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia.
Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu???
Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi.
Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia.
Umeuza rasilimali ya nchi au...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz.
Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.
Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe.
Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
Wakuu habari,
Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ?
Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali
Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
Dk Mo ana uhakika gani kuwa wanasimba wangapi hawamtaki Mangungu?
Mangungu amechaguliwa na Mkutano Mkuu kuwa mwenyekiti, hawezi kuondolewa na Dk mo kihuni kwa makosa ambayo hayana ushahidi. Yaani wajumbe woooote hawana akili kumchagua Mangungu. Kama vile inageuka vita ya kibiashara na GSM...
Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji.
Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao.
Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi kuwafanya wawekezaji kuogopa kupeleka mashauri yao, tulimuona anakosea sana
Ila ukiona namna hoja za...
Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande?
Au ni changamoto gani mliyokumbana...
Hello bosses and roses...
Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa.
Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project.
Hivo natafuta...
Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji.
Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma.
Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni.
Naomba nitoe mfano mdogo:
Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.