mwehu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  2. ngara23

    Hakuna penalty pale, Referee mwehu ndo angetoa ile penalty

    Nimeamini Watanzania hawajui mpira. Wachambuzi wakubwa wanalalamikia eti lile tukio la Jana referee ati kawadhulumu penalty Sasa Ile penalty Gani mnataka? Sio kila contact ni faul Ile contact ilikuwa nyepesi mno Idd Nado alijilegeza na alijitega na kujiandaa Kwa mtego ili mwamzi ampe...
  3. F

    Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  4. FK21

    Aliyetunga Squid Game series ni mwehu kila alieshiriki iyo TV show amechezewa mchezo hadi ukiitazama tu ushachezwa mchezo

    Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
  5. G

    Jamaa alioa Manyara, Dodoma na Singida ndoa chali, sasa yuko kijiweni analalamika kama mwehu

    Wakuu, Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili. Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa 1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi 2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao 3...
  6. Bila bila

    Mungu, shughulika na huyu mwehu.

    Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa? Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa...
  7. V

    Naombeeni msaada

    Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
Back
Top Bottom